tatizo ni kwamba shombo ya nje huwa haiishi hata ukinawa so bora uhamie hukohuko
Ngoja niulize..eti Passion Lady una nafasi hapo kwako?
kama anayo ya kukpa chakula na nyingine zitakuwepo labda ajivunge tu
umeonaee kama ulivyoanza kuniomba mm
​hahaaaaa!bora tu umwambie!!Fantastic!!! honey shansarie..i alert u!
usininyime tena..
Ngoja niulize..eti Passion Lady una nafasi hapo kwako?
asante sana my mimisa!!
vipi huyu jamaa mwananthropolojia kafia porini ama? sijamwona kitambo sasa..
mwananthropolojia yupo tu kiwatengu..atakuja muda wowote
happy birthday