Happy birthday darling

Happy birthday darling

ndiko ninakoishi..

kwa sasa niko mapumzikoni kidogo huku Moshi..nitarudi kwetu
5[SUP]th [/SUP]August 2013..
tell me Paloma

mmm sina usemi mie! nikutakie mapumziko mema! na safari njema ukirudi Lokolombe!
 
uniwie radhi lakini....ila ninahisi kama una husiana na id nyingine ambayo kwa sasa iko dormant! niwie radhi sana na pengine hisia zangu ni potofu!

nimekuwia radhi..

kumbe hilo tu? mi nilidhani umenishtukia

kama nataka kukuseduce..hahahaa..soso will kill a person
 
nimekuwia radhi..

kumbe hilo tu? mi nilidhani umenishtukia

kama nataka kukuseduce..hahahaa..soso will kill a person

kuniseduse huwezi as baby wako shansarie atatia kitanzi mtu na soso atata kilema mtu!!!
yani nchini chitchat kuna ubabe............
 
kuniseduse huwezi as baby wako shansarie atatia kitanzi mtu na soso atata kilema mtu!!!
yani nchini chitchat kuna ubabe............

sema hivyo lakini usingeweza kuni escape..

vocal kaliiiii...unasanda mwenyewe!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom