.......Happy Birthday cacico......!

mambo yangu poa tu na mzima tu mamito cacico,
h'b'day,
yani huyo wajina wake ndo anataka amzimishe kbs?
Yani leo huko lazima watu warudishwe majumbani mwao na mikokoteni.
Jinsi 'watakavyoangusha magari'
ndio nimetoka salon, nataka nivae nizianze mapemaaaaaaaaaa!
 
Hahahaha! Mi nikiiona hilo napakumbuka Mwarubaini.

Nakujua wewe,
Mbio zako zooote DSM hii,eti unaishia pale Mwarubaini
Asprin,
'TAKE IT FROM ME' 45%
Bora hata Decca.
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday dearest. I wish you all the best for whichever years to come!
 
Mamito Yummy upo?
Mke mwenzio ndo leo Mnuso,
Ole B'day yako ifike afu usitualike,
Tutaku-Ulimboka

Aaaah kumbe kuni-Ulimboka tu hiyo sijali sana ingekua kuni-Mwangosi hapo ingekua utata!
Mimi yangu wewe ndo utakua Mwenyekiti, Katibu Muhtasi, Muweka Hazina, Sekretari yaani yoooote yako na kazi kwako.........sasa ole wako uingie mitini ndo utanfahamu
 
Ahaa..ni hivyo kumbe,haya Happy Birthday cacico
ila naomba hiyo message uifute asije kuiona Arushaone, ruttashobolwa si umesema amesafiri au...usiwe na hofu leo
kwa raha zako ukiwa chuni ya ulinzi wangu.....

Naogopa,
mbona kama umenipania wakati wewe ni msiri wangu tu.
Unataka kupindua nchi ya Wenyewe?
 
Last edited by a moderator:

Mbona Mkwara shoga?
Nitaingia nazo mitini kweli,we n'chezee!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…