.......Happy Birthday cacico......!

Kaizer waswahili husema ukitaka kujua uhondo wa ngoma shurti uingie ucheze, hivyo basi we ukaribie tu ujioneamo kilichomo, amini you won't be disappointed :mwaaah:
I know i know mpz Yummy un have so much to offer nami sitakuanguha. Asprin naomba picha ya muktadha huu tafadhali
 
Last edited by a moderator:
Nipo msiri wangu nilikuwa natazama mapicha kule,kinaendelea nini hapa,na jana ulifika salama lakini......

Kuna B'day ya Mamito cacico,
sasa nataka uje uambatane nami ili 'Nikipombeka kinyama' kwenye sherehe unibebe mpaka home.
C unajua Shemejio Kasafiri?
Hakuna wa kunifata.
 
Last edited by a moderator:
shemeji upo?? nimekukumbuka sana, umepotea haswaaaaa!

Haaa shem
Nipo kabisa najua umenikumbuka mi shemejio na hivi nimeadimika! mwaJ msiri wangi najua hawezi kukwambia nilipo ila naja soon. Hebu nipM shem nikwambie kitu
 
Last edited by a moderator:
Haaa shem
Nipo kabisa najua umenikumbuka mi shemejio na hivi nimeadimika! mwaJ msiri wangi najua hawezi kukwambia nilipo ila naja soon. Hebu nipM shem nikwambie kitu
right away shemeji naKUPM thatha hivi, lol! kwema lakini?
 
Madame B mambo?? mzima wewe?? tena eti klorokwini kamletea ugoro wa russia! leo huko kizaa, kizaa!

Mambo yangu Poa tu na mzima tu mamito cacico,
H'B'day,
Yani huyo Wajina wake ndo anataka amzimishe kbs?
Yani leo huko lazima watu warudishwe majumbani mwao na Mikokoteni.
Jinsi 'watakavyoangusha magari'
 
Last edited by a moderator:
Kuna B'day ya Mamito cacico,
sasa nataka uje uambatane nami ili 'Nikipombeka kinyama' kwenye sherehe unibebe mpaka home.
C unajua Shemejio Kasafiri?
Hakuna wa kunifata.


Ahaa..ni hivyo kumbe,haya Happy Birthday cacico
ila naomba hiyo message uifute asije kuiona Arushaone, ruttashobolwa si umesema amesafiri au...usiwe na hofu leo
kwa raha zako ukiwa chuni ya ulinzi wangu.....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…