Happy Birhtday figganigga & Bily

Happy Birhtday figganigga & Bily

mkuu figganigga happy bday, itabidi tutafutane nikupe zawadi zako za bday, hahahaa...... Mia
 
Last edited by a moderator:
Asante Heaven on Earth kwa kutukumbuka katika siku hii muhimu kwetu mi na mkuu figganigga kwa niaba yake nasema asante sana na Mungu azidi kutubariki na tuishi miaka mingi hapa duniani amen.

nichukue fursa hii kumtakia heri kwenye siku yake ya kuzaliwa
mzee wa mia figganigga pamoja na billy. Ashukuriwe Mungu
kwa neema yake na wabarikiwe mama waliekuleteni duniani na
kukukuzeni kwa malezi bora mpaka hapo.

mwenyezi Mungu awalinde na kuwapa afya njema HAPPY BIRTHDAY

Happy+Birthday+Hot+Wishes+Cards+-+69.jpg
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom