Happy 58th Birthday babu Le Mutuz

Happy 58th Birthday babu Le Mutuz

Status
Not open for further replies.
ila nigezaliwa na le mutuz ningefaidi sana kuwa na baba kama huyu, ukirudi nyumbani saa 6 usiku anakwambia: "we mburulazz! mamen mzima unarudi saa hizi? unamuachia nani mabebezz bin mtindizz huko club? hebu rudi huko gademu, nikuone hapa asubuhi!"
Ha ha ha yani maza atakua yupo proud na watoto wake ila anawish baba angekua ni mtu mwingine not le baharia
 
Haaa haaa we ni nomazzz
 
Ha ha ha yani maza atakua yupo proud na watoto wake ila anawish baba angekua ni mtu mwingine not le baharia

Mi naona kwa vile alimkubalia basi na yeye atakuwa yuko hivyo hivyo sema kwa vile hana blogi hatujawahi kumsikia.
 
Nakukubali sanaaaaaaaa no matter what😊😆😊😆😆
 
Hizo picha hapo taswira ya hao waliopo inaongea mengi sana.
 
Show me your friends I'll tell who you are!! Happy birthday le mbebez le mutuz le baharia le tamkoz ..LOL
 
Hahahah Kim nana aliamua kufuta ubabu ikabidi niokoe jahazi......

Halafu mabilionea mbona hawakuwepo kwenye pati??? Wamejaa wajukuu zake wa bongo movies tu au Babu siku hizi anaakti???

Kumbe ni babu wa BADILI TABIA af anamsingizia Kim nana
BT msalimie yo gran papa me love him you know, na picha yake nnayoipendaga sana ni ile anajojoa kwenye mnazi
 
Last edited by a moderator:
Sasa le mutuz inabidi utulie uwaandalie watoto wako urithi,si unajua huwezi kuwaachia urithi wa blogu yenye visitors 200 kwa mwezi ,ofisi downtown au urithi wa le bebezz super mtindizz,miaka 58 kaka kama na wewe ungekuwa kwenye kuchukua form ya urais bsi wa ungekuwa mgombea mzee kuliko wote hao 41
 
Teh Teh huo urithi wa blogu ni urithi wa BADILI TABIA na Kim nana walishaandikwa kabisa kwa hiyo labda watoto na Mama yao watapewa vitu vingine....
Kumbuka bado kuna
Urithi mabebiz,marafiki mabillionaire..kuna Noah,Ofisi na vitu vingi visivyo hamishika
Hii comment imenichekesha sana...!
Teh Teh
live ...long lemutuz
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom