Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,701
Brother kama ex wife wako ana 51 wewe utakuwa na mingapi?
Age z just a gadem number u kno....hahaha
Brother kama ex wife wako ana 51 wewe utakuwa na mingapi?
Hahahaaa makorokoro kama nyumba za katuni au nyumba za watoto za kuchezea kibaba baba na kimama mama lol! 😂😂😂😂😂 I like him though
Hata hivyo ubovu wa jengo si jukumu lake. Ni kweli jengo limechoka kiaina, but i didnt say a cozy building. wacha tuendeee kumuingizia siku. kama anaishi chini ya umri wake thats none of my business. May be ndio maisha aliyoamua kuishiCozy?! Hivi hapo uliingia peke yako? Niliwahi kuwa na project flani hapo na nishaingia zaidi ya mara 10. Sio kwa huyo Mutuz, bali jirani yake kwa yule mzee wa kipindi cha.................. (anamjua).
Sitataja jengo, lakini kwa hints tu hilo jengo lipo mkabala na 'Maendekesho Kibubu' pale mjini. Tena ni jengo chafu kishenzi. You cant come forward and brag eti ni jengo classy kwa sababu liko town. The building is totally shabby!
Hana lolote huyu jamaa. Anachonikera, hatambui fursa zinazomzunguka na kuzitumia vema! Akili yake inawaza ujinga wa rika la akina Lulu na Lina! Kazi kuja kudanganya watu mitandaoni tu! Sijui hata inamsaidia nini eti?
Ndugu zangu, Huyu jamaa haigizi. Ana maisha magumu sana. Na ugumu wake unakuja zaidi kwa sababu anaishi CHINI YA UMRI WAKE!
Nitoboee...?!
Mr Gentleman huyu babu lemutuz watoto wake wanasomeshwa na mama yao pamoja na msaada kutoka serikali ya USA sababu wanaonekana ni watu masikini au wasio na uwezo ndio maana serikali inawasaidia na kuwasomesha, yeye huyu babu alikimbia majukumu yake na hapo amerika yeye ni wanted akiingia tu ndani ndio maana haendi tena sababu kisheria ukikimbia kulipa child support ni jela miaka mingi hadi utakapolipa na hapo bado ana deni wanasuniri kumkata kwenye pension port yake, mtoto wake wa kwanza Agapeo yuko college na yule mdogo Leona anaanza college next year, walikuja hapa bongo juzi juzi lakini hawakuwa hata na mpango na huyu babu hadi machozi yakamtoka aliishia kuwaona kwa nje tu, yule Leona aliishia kumwambia get off me ur not my dad haha watoto walikataa hata kumuona babu yao sea view.
[h=2]Zari Dating Tanzanian Tycoon?[/h]Big Eye / June 30, 2014
By Stuart G-khastCity socialite and self-styled fashionista Hassan Zari was recently spotted with one Tanzanian promoter apparently sharing a light moment. Zari was at the tycoons birthday in Tanzania. We identified the tycoon as Malecela William.Zari and William are said to have known each other for some time now but they are becoming closer every moment. Zari is currently dating a one Farouk after she divorced her husband Ivan Ssemwanga on infidelity grounds.William is a promoter in Tanzania and is one of the richest men in Tanzania. William is a multi-Billionaire in Tanzania.
- See more at: Zari Dating Tanzanian Tycoon?-Bigeye.ug
Mbebs....
akili kubwa lakini haijiamini,ofisini kwako headphone za nini.hapo usikute mburulaz linaangalia porno.
Ila mie lemutuz ananifurahishaga sanaNimekumbuka na yeye aliporudi alikuwa 'kingi' kidoogo halafu akahamia downtown you know?