Happy 58th Birthday babu Le Mutuz

Happy 58th Birthday babu Le Mutuz

Status
Not open for further replies.
watoto walikukataa majuzi walipokuja bongo,pike Sana na umri umeenda sijui utapata hata wa kusingizia wapi!!
its shameful kuwakimbia wanao,hata Kama unawalipia ada unavyo claim,though its not true...big body for nothing unawakimbia wanao,hata Kama ulikuwa unakimbia your crime,si ingekuwa unawasiliana nao kwa electronic mails,mwanaume mzima ukawakimbia ndio maana wame kukataa Me mbururaz
 
unaweza kutengeneza story kwa kupitia majibishano yaliyo kuwepo humu na yaka ruka hewani.
 
Funzo kwa wote wanaoishi Ughaibuni hasa USA...jamani muishi kwa malengo...pata elimu rudi nyumbani...ama kama mambo hayaendi...si mbaya kugeuza..hali ni ngumu TZ lakini maisha ni nafuu kidgo kuliko kodi za ughaibuni...malengo! malengo!5 years plan..mambo hayajanyoooka basi rudi Bongo
 
Ktk Watu wanaongoza kutukanwa huku Jamiiforums na kujibu ni Le Mutuz.
 
Tarehe kama ya leo, mwaka 1964, alizaliwa Mfalme wa Mitandao Yote ya Kijamii Tanzania., Ndugu William Malecela alamaarufu kama Lemutuz. Hongera sana kaka kwa kuongeza mwaka mwingine. WISHING YOU ALL THE BEST.

10492271_447672042081866_1916085131352994470_n.jpg


1981826_447672425415161_8471269346939246067_n.jpg


10470782_447672588748478_3987241597529241856_n.jpg
 
Kubali sana wewe Le Mutuz...ma meeen...Jeshi la mutu mmoja....
 
Page yake ya Instagram utadhani album ya bachelor imejaa picha za mabebs tu

lakini si yuko divorced kwa hiyo ni bachelor au? Mi ninachoshangaa ni kusikia ana watoto, hao ndio ningependa niwaone instagram wanafananaje.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom