Wala uhitajiki kuwa karibu na Le Mutuz kumjuwa alivyo hewa, hana privacy ndio maana wanaomlipuwa wanamjuwa kiundani wakati hawajawahi hata kuonana physical na Le Mutuz.
Mimi nakuhakikishia miaka mitatu au minne iliyopita nilitumiwa na kwenye pm na member mmoja.bonge la scandle la jinsi ya mke wa Le Mutuz alivyopewa ajira kwa kupendelewa kule Marekani nadhani hapa targeted alikuwa ni Mzee Malecela, mimi kwa busara za kiutu uzima nikapotezea sikusanuwa na badly ile scandle nzima nilitumiwa kwenye Id yangu ya zamani amnayo imekiwa merged na hii hivyo zile pm sina access nazo.
Le Mutuz na Neema walikuwa ni Member wazuri wa JF na mabingwa wa kumtukana Kikwete kwa fake ID ndio maana leo hii Le Mutuz hata wewe ukimgonga dongo la uhakika ni lazima atakuita wewe ni X-wake au ndugu yake na Neema.