Happy 58th Birthday babu Le Mutuz

Happy 58th Birthday babu Le Mutuz

Status
Not open for further replies.
Happy birthday Lembebez

Kwakweli mwakani nikija bongo ntajitahidi nije niiione hiyo office yako ya downtown mana unavyiopa promo sio mchezo

Hizi taarifa za wewe kutangaza nia natumai sio kweli, naamini we sio mtu wa siasa.
 
ila mtoa mada unaonekana kuwa na bifu na lemutuz kwa nn usimtafute mkapeana makavu yakaisha kuliko kuleta huku???alafu pia unapoteza mda wako mwingi kufuatilia maisha yake coz unayajua mambo yake mengi sana...acha utoto
 
Binadamu tuwakatili sana, hivi kwanini mmemuanda na kumsema vibaya huyu mjomba? Hivi kitu gani alichowakosea wajameni?
 
@W.J Malecela kaumbuka..kumbe ana 58 halafu anajifanya kijana!!!! miziki inayomfaa ni Juwata jazz,msondo,vijana jazz,twisti,bampingi,yaani angekuwa mtumishi wa serikali angekuwa kaanza semina ya kustaafu,nampa pole mkewe na watoto,ajikaze apambane,hapo hakuna mwanaume,
 
Hahaha
Noah yenyewe unaambiwa kanunuliwa na mwanaume mwenzie...David Mosha. ...

Nina mashaka na hata huo urithi was blogu......

Teh Teh huo urithi wa blogu ni urithi wa BADILI TABIA na Kim nana walishaandikwa kabisa kwa hiyo labda watoto na Mama yao watapewa vitu vingine....
Kumbuka bado kuna
Urithi mabebiz,marafiki mabillionaire..kuna Noah,Ofisi na vitu vingi visivyo hamishika
Hii comment imenichekesha sana...!
Teh Teh
live ...long lemutuz
 
Last edited by a moderator:
Ndio akili kubwa hiyo alonayo.......

Mjinga sana huyu babu yani anasema watoto zake walienda kulia shida kwa babu yao. Hajui wanakula nini wanavaa nini wanalala wapi wanasomajesomaje bado analeta kashfa zake.
 
Hahaha
Noah yenyewe unaambiwa kanunuliwa na mwanaume mwenzie...David Mosha. ...

Nina mashaka na hata huo urithi was blogu......

Haki y mamaaa chukua hiyo noah ntakuekua shockup mpya zote 4.....mana kwa uzito wke plus mabebezzz anaowapakiza lazma limeisha😁😁😁
 
Haki y mamaaa chukua hiyo noah ntakuekua shockup mpya zote 4.....mana kwa uzito wke plus mabebezzz anaowapakiza lazma limeisha😁😁😁

hahaaa, atakuwa kaunganisha siti mbili za mbele akae peke yake..huo unene ni kama volkswagen beetle,siti ya dereva hatoshi
 
hahaaa, atakuwa kaunganisha siti mbili za mbele akae peke yake..huo unene ni kama volkswagen beetle,siti ya dereva hatoshi

Hahaaa au spring z seat y dreva zimeshakatika huu uzito alitakiwa aendeshe hardtop
 
Mkuu usemalo n kweli ukimjibu ukweli anakimbilia kukutuhumu.......umri huo c haba ila jamaa ni mdananda anapenda sifa n kuabudiwa.hilo jina lake angetumia vizuri angekua mbali sana sio kumiliki kiblog n pagala kinyerezi,
Kila siku sifa mara naingiza laki 4 kwa saa ila maisha yke yaleyale hata kumalizia nyumba kashindwa

huyu jamaa hovyo kweli,katelekeza mke na watoto,ile sheria ya obama ingemkuta marekani leo tungeongea mengine
 
huyu jamaa hovyo kweli,katelekeza mke na watoto,ile sheria ya obama ingemkuta marekani leo tungeongea mengine

Msamehe bure alikua anaendesha gari y taka huko usa sasa hpo utaona mukichwa hayuko sawa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom