Happy 58th Birthday babu Le Mutuz

Happy 58th Birthday babu Le Mutuz

Status
Not open for further replies.
Hahahah Kim nana aliamua kufuta ubabu ikabidi niokoe jahazi......

Halafu mabilionea mbona hawakuwepo kwenye pati??? Wamejaa wajukuu zake wa bongo movies tu au Babu siku hizi anaakti???

Babu nimemshindwaa, namgawa bureee mtu gani hataki kuzeekaa...Yani 58 yote hiyo halafu bado ana kadi ya UVCCM....
 
Last edited by a moderator:
- hahahahaha ok walikataa kumuona bongo halafu majuzi alipokuwa huko wakamfuata kulia shida na wewe una pesa sana vipi wewe mama unajiabisha hapa

Le Mutuz

Sasa mambo ya kutoana nishai kwenye media na mlishare kila kitu mpaka kupata watoto ndio nini? Kwa umri wenu hamtakiwi kufanya haya mambo!
 
Miaka 58 itakufanya uwe na akili na uvae vest na uepukane na kujiaibisha na mimajasho mbele za watu na kunuka nuka makwapa na mungu akujalie uwe na akili na miaka 58 ikufanye uache kuvaa maturubai ya kufunikia vitz.

View attachment 263398View attachment 263399

attachment.php
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom