jMali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 8,412
- 5,013
kila mtu ana issue zake za private na hazituhusu. Kinachotuhusu ni kile tunachokijua. Ukweli ni kuwa Lemutuz ni gadem akili kubwaaz ndio maana tunamuongelea. Sio watu wengi wanaorudi bongo halafu wana bang kama le big show. Uongo mbaya mi mwenyewe ingawa namtania lakini sijawahi kuwaza kukaa mjini downtown you know? tushazoea wanaokaa huko ni wahindi wenye biashara zao. Haki yake mpeni bwana. Happy birthday W. J. Malecela