Interest
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 3,434
- 7,091
Nilishaingia hapa. A cozy place. Jamaa anacheza na akili zenu tu kisha anapiga hela bia jasho. Shauri yenu
Cozy?! Hivi hapo uliingia peke yako? Niliwahi kuwa na project flani hapo na nishaingia zaidi ya mara 10. Sio kwa huyo Mutuz, bali jirani yake kwa yule mzee wa kipindi cha.................. (anamjua).
Sitataja jengo, lakini kwa hints tu hilo jengo lipo mkabala na 'Maendekesho Kibubu' pale mjini. Tena ni jengo chafu kishenzi. You cant come forward and brag eti ni jengo classy kwa sababu liko town. The building is totally shabby!
Hana lolote huyu jamaa. Anachonikera, hatambui fursa zinazomzunguka na kuzitumia vema! Akili yake inawaza ujinga wa rika la akina Lulu na Lina! Kazi kuja kudanganya watu mitandaoni tu! Sijui hata inamsaidia nini eti?
Ndugu zangu, Huyu jamaa haigizi. Ana maisha magumu sana. Na ugumu wake unakuja zaidi kwa sababu anaishi CHINI YA UMRI WAKE!
Nitoboee...?!