Anthony Threedeyea
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 471
- 47
Mwee mleta mada anachuki binafsi huyu jamaa namkubali sana ni mchangamfu na inaonekana sio mbinafsi maana kila anachofanya lazima tushare wote
Hongera kaka ktk siku yako ya kuzaliwa mungu akubaliki hata kama wanaponda kwa upande wangu nakupenda sana
Hongera kaka ktk siku yako ya kuzaliwa mungu akubaliki hata kama wanaponda kwa upande wangu nakupenda sana