Kama wana ofisi Dar haraka wachangamkieni kisheria wakamatwe wawekwe sero kwa dhamana.Hapana tulienda hadi ofisini kwao hapo daressalaam
Kingine ni kuwa mkataba walikuwa wanaficha jina la kampuni na namba ya muajiri
Tukiuliza kwa nini wanasema tunaweza wazunguka
Jumla tuko 9
Real 100%Kama ni chai hivi mazee...
Una maneno sio ya busaraHata wajinga uwa wanavuka miaka 18
Na wakipata koneksheni abroad wanaenda..
Hebu jaribuni kumfariji mwenzenu, mbona mnampa majibu magumu hivyo 😆 😂 !C
Alafu eti ana exposure....alishawahi kwenda abroad huko .... mwambie ale chuma hicho😃 😀