Hapa nifanyaje wakuu

Hapa nifanyaje wakuu

Tayari aumeshatafunwa mdogo wangu, pesa yako watu wameshakunywa bia na Nyama choma na kudinyia mademu
 
Mimi ni kijana wa miaka 29, baada ya kumaliza chuo nilipata intern ya kilimo ulaya mwaka 2023_2024
Baada ya kukamilisha nilirudi Tanzania kuendelea na maisha

Sasa katika kupambana ninaye jamaa yangu tuliokuwa naye abroad wote akanishirikisha kuna fursa zingine za kwenda nchini canada yakuwa ni very agency na muajiri anahitaji recent intern wenye experience nikaona kama ina make sense hiyo ilikuwa feb2025, nikaaply wenye hilo kampuni la agency ambao ni watanzania walitutaka tulipie usd 2500 na sio tshs kulingana na uhitaji na wakati huo dolla ilikuwa juu nikaingia gharama nikalipia nikujua safari ni jun2025

Ilipofika April wakadai tujiandae na issue za embasy nikaona safari hii hapa. Ulipofika mwezi wa tano bila kufanikisha issue ya embassy wakaanza sababu kuwa canada sasa wanasera mpya za immigrant hivyo tusubiri ulipofika mwezi wa sita hakukuwa na safari.

Tulipoanza kuhoji wakatuambia hata sisi hatuelewi tuvumiliane siku 45 siku hizo zilipoisha wakaja na story ya kuwa tumepata kazi spain atakayetaka tumfanyie transfer nikaona kama nimevumilia 6month hii ya spain nayo wamesema ni urgent only 3 month mnaondoka nikaona ngoja tuone.

Mwezi wa 11 tukapewa contract ambapo walituahidi feb mnaondoka ilipofika jan wakatuambia majina yetu employer kayapeleka embassy tujiandae ilipofika february hakukuwa na safari story ni vile vile tusubiri tena sasa wanasema wao hawajui safari itakuwa lini maana employer naye hajui kuhusu sisi

Tulipoomba hela yetu kwa kuwa tunaona hamna issue hapo wanatuambia mwajiri wa ulaya kasema hawezi rudisha hela hadi wapate watu wengine watakao replace kuondoka kwako ndio urudishiwe hela yako

Nimeleta huo uzi
Je nimetapeliwa
Niende polisi
Au hapo unanishaurije mwa JF na mimi ndio tegemeo nyumbani
Asante
Maaamae sukuma mtu ndani hatutaki matapeli
 
Hao ni matapeli kama @immigration Tanzania
 
Una uhakika na jamaa yako naye alilipia hizo gharama
 
Hapana tulienda hadi ofisini kwao hapo daressalaam
Kingine ni kuwa mkataba walikuwa wanaficha jina la kampuni na namba ya muajiri
Tukiuliza kwa nini wanasema tunaweza wazunguka
Jumla tuko 9
Mkuu umetapeliwa.. wewe na mwenzio wote 9.. iko hivi nchi za Ulaya kama vile Canada swedeni, Finland, uholazi, span,Denmark na nchi moja nimeisahau Jina.. kazi katika hizo nchi hazina agents wa kutafuta watu wa kwenda kwao kufanya kazi..

Nini kinatokea? Wanazo websites zao kupitia makampuni na balozi husika ambazo hutangaza kazi kwenye official web ili kila mtu mwenye sifa aombe. na kuna kazi huwa zinatolewa purposely kwa nchi rengwa.. bahati mbaya sana watu matapeli wametumia mwanya huo kuwapiga watu wengine..

Dalili kubwa sana kama hyo kazi inakwambia lipia sijui ghalama stuka mapema unataka kupigwa hapo.. malipo yoyote huwa yanafanyika baada ya approve letter kupitia ubalozi husika au wao wenyewe waliotoa kazi.

Kwa hyo mkuu pole. usd 2500x9= 22500usd x tsh26000=? Watu wamejenga nyumba na usafri..

Mjini shule, hela haitafuwi inategwa

Nnao ushahidi mwingi wa watu kupigwa kwa aina hyooo pole mkuu usife moyo ndo ukubwa huo..
 
Hapana tulienda hadi ofisini kwao hapo daressalaam
Kingine ni kuwa mkataba walikuwa wanaficha jina la kampuni na namba ya muajiri
Tukiuliza kwa nini wanasema tunaweza wazunguka
Jumla tuko 9
Mkuu hii umepigwa amini usiamini.
Karibu kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria.
Kwa jinsi wanavyo chezea dola za watu mfano wako hamtawashinda kesi kirahisi.
Kwanza like kitendo cha kutowapeleka CANADA na kuwabadilishia destination ilikuwa BREACH OF CONTRACT.
Ungedai pesa yako wakati huo huo.

Nakufumbua akili uone wapi ilikuwa inalia alert alarm hukuzingatia.
Kukuficha jina na contacts za kampuni lengo usijaribu kutafuta taarifa za uthibitisho kwenye hiyo Kampuni utajua unatapeliwa.
 
Ili swala lako inabidi uanzie kwa mwenyekiti wa mtaa afu uende kwa mlinzi wa aman kabla ujaenda kwenye vyombo vya kupikia
 
Mkuu hii umepigwa amini usiamini.
Karibu kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria.
Kwa jinsi wanavyo chezea dola za watu mfano wako hamtawashinda kesi kirahisi.
Kwanza like kitendo cha kutowapeleka CANADA na kuwabadilishia destination ilikuwa BREACH OF CONTRACT.
Ungedai pesa yako wakati huo huo.

Nakufumbua akili uone wapi ilikuwa inalia alert alarm hukuzingatia.
Kukuficha jina na contacts za kampuni lengo usijaribu kutafuta taarifa za uthibitisho kwenye hiyo Kampuni utajua unatapeliwa.
Inauma kinoma
 
Ila niki komaa pesa si inarudi
 
Next time waambie hiyo $2500 wakukate kwenye mshahara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom