Hawa wakazi wa kusini naamanisha mikoa ya Lindi na Mtwara najua kabisa wana hamu kubwa sana ya mabadiliko. Kwa sasa mimi nipo mtwara, nilipita huko mtaani yaani hali inakatisha tamaa, hawa jamaa yaani wanahitaji mabadiliko haswa na isitoshe wana hamu sana ya kumsikia Dk Slaa. Na ijulikane kwamba CCM NA CUF imeshamiri sana pande za huku,isitoshe wiki kadhaa Dk Slaa alipanga kuja huku...watu toka vijijini na pande nyingine walikaa uwanja wa mashujaa tangu asubuhi mpaka pale walipopata taarifa kwamba ameghairisha kuja, watu wakaondoka na masononeko.
Kikubwa zaidi ambacho kinakatisha tamaa na kuvunja moyo tumesikia tetesi kwamba kwakuwa Dk Slaa anakubalika sana sana pande za Mbeya basi anatarajiwa afunge mikutano yake hukohuko ambako amesota mawiki kibao. Mi nadhani katusahau wapiga kura wa Lindi na Mtwara, na kwa mawazo yangu nilidhani angetumia muda mwingi huku ambako upepo wa kisaiasa uliotawala ni wa CCM na CUF.
Ningempa changamoto tu kwamba watu wa huku Mtwara kwa sasa wamekuwa ''upset' na 'fed-up' with u Dk. Wamechoka kukuona kwenye marunninga na wanakuhitaji sana,isitoshe nadhani uangalie tena ikibidi ufunge mbio za kampeni mikoa hii ya kusini kwani utawabadilisha kifikra sana wakazi wa huku kuliko unavyozidi kujisahau pande za mbeya,rukwa na iringa ambako asilimia kubwa mno wanakukubali, nadhani imetosha na sie wanaLindi na Mtwara kukuona Live. Nakerekwa sana na hili........

pamoja na yote hayo tunamhitaji saanaView attachment 15019
wanahamu ya kumuona padri,"dr", "rais mtarajiwa", mtuhumiwa wa wizi wa mke wa mtu

Chukueni FILM ya hotuba za Slaa na muangalie.
Aje huko kupoteza muda na pesa? Huko malizazeni Waswahili wenyewe kwa wenyewe.
CUF na CCM mnapendeza sana Mtwara na LINDI. Makonde kwa ChiChieM ni kama Mguu Mchafu na Sindimba.
Una uhakika walizipenda sera za cuf na ccm kwasababu hawajawahi kuzisikia sera za chadema?Mkuu kwa kauli hizi hebu nambie mabadiliko unayoyataka manake watu wanataka kujua ni zipi sera za CHADEMA, wewe unawakatisha tamaa. Hata kama ni ngome ya CCM na CUF nadhani kilio chao kwa Dokta kinahitaji kusikilizwa vinginevyo Dokta atakuwa ameanza kuonesha wazi kupendelea baadhi ya maeneo ilhali bado ni mgombea tu,, akiwa rais itakuwaje?
Tafakari.
Mungu Ibariki Tanzania.
Du anasoma risala ya kuomba msaada kwa Mr Presidaa? Na hii aliandikiwa na January Makamba?