Hamu Kali ya Ngono Kazini: Nifanyeje?

Sipingi imani yako , ila kwa mimi ambae siamini naona hakuna kitu, labda imani ili kufanya kazi inataka kuamini
 
Sipingi imani yako , ila kwa mimi ambae siamini naona hakuna kitu, labda imani ili kufanya kazi inataka kuamini
siyo imani ila amini kuna wanaume wajuta kuzaa na aina flani ya wanawake achilia mbali kulala nao tu na hiyo huwakuta mara nyingi wakisha maliza ile ashki.
 
Kama mtu mzima, naweza kushauri machache;

✓Hakikisha umeoa
✓Hakikisha mkeo anakupa morning glory Kila siku, hii itakusaidia kupunguza ashki na nyege mshindo zao
✓Jiweke busy na kazi, inaonekana huna majukumu ya kutosha hapo unapofanyia kazi. Mimi Kuna wakati nakuwa busy, hadi nasahau kwamba mnala wa babeli hata huwa unasimama
✓Usipende kufanyia ngono kwenye eneo lako la kujitafutia ugali, unakwenda kuinajisi ofisi yako, hivyo unaweza kushindwa kuendelea na kuona mafanikio
 
Huna kazi ya kufanya mkuu ndiyo maana tamaa za kijinga zinakujia kila wakati.

Yaani mtu uwe na mafaili lundo ofisini na yanatakiwa kushughulikiwa kwa umakini na weledi halafu eti upate muda wa kufikiria 'ngozi' kila mara?

Labda kama wewe ni secretary wa ofisi ambayo kwa wiki mnapokea file moja hivyo unajikuta umekaa hadi unasinzia mapokezi.
 
Madada poa ndio wa kunitibu? Au kuna dawa gani huko, mbona sijakuelewa kabisa kiongozi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…