Hamis Kingwangala amjibu Lowassa

Upinzani wa EL upo ndani ya CCM... Na leo hii ndo mnaona wizi wake wakati alishasema... Hakuna alilifanya ambalo Rais hakulinuwa...liambiwa mena mafisadi mlikana mwanzo mwisho... Eti leo kwa vile kuna nia ya uraisi....
 
Huyu jamaa ananifurahishaga sana mtu wa kwetu, ubunge yenyewe nina u hakika harudi, lakini anataka uraisi! Mi ccm bana!
 
Mkuu Ritz tukianza kuogopa kusema kwasababu fuani aaweza kuwa Rais wa nchi basi ujue tunaelekea pabaya.Dr Hamis Kigwangallah katika hili yupo sahihi Lowassa kama anataka uongozi basi awe ni mtu aliyetayari kujibu hoja na si vinginevyo.Tukiogopa kumuuliza maswali Lowassa leo kesho akikalia ofisi ya magogoni tutaogopa hata kumtazama usoni.


Dogo Khamis, weka maneno ya akiba angalia usije kuwa kama Mashishanga.
 
Last edited by a moderator:
Kigwangala hana ubavu wa kupambana na mzee Lowassa,na vijana kumbukeni nchi haipewi vijana hata siku moja.nyie mtakuwa wabunge tu.
 

MUSSA ALLAN, Kwa kweli CCM ni chama cha muda mrefu na uzoefu katika utawala, Tatizo kubwa ni kumpata mgombea msafi ambaye anadhamira ya kweli ya kuleta mabadiliko, Wagombea wa CCM mawazo yao ni kama yako! Ndiyo maana ndani ya hicho unachokiita demokrasia hamna ambaye anaweza kumkemea mwingine!!! Kwa kuwa wote ni walewale!! Kila mgombea ananunua watu, kama ulivyonunuliwa wewe, Kila mgombea ana kundi!! Halafu unaita demokrasia ni unafiki kila mtu anamuogopa mwenzie!!
 
Ndo maama Hamisi Kigwangala kaomba mdahalo na Lowasa. Ana maswali mengi ya kumuuliza. Mie nina maswali mengi pia. Kwa kuanzia naweka haya maswali ambayo wadau wengi wameyauliza humu jf

Hamis ana laana ya kumtelekeza baba yake mpaka umauti! Tumsamehe bure!

Naona Lumumba kunafuka moshi .................... Hata kina Lizaboni na MUSSA ALLAN wanatofautia bado asubuhi!!
 
Last edited by a moderator:
 
kuna tetesi kwamba mwakyembe anakuja na maswali magumu zaidi , ni lazima patachimbika ! haya mambo ya kung'ang'ania kugombea uongozi ili kuwaridhisha wanaokuchangia hela ni hatari sana .
 
Last edited by a moderator:
Arusha Lowassa atamwaga mboga,ugali na maji ya kunawa....mwisho kabisa atatafuna na vibakuli....

Yaani mimi nasema bora amwage vyote ajisafishe na Watanzania wamwelewe.Ni kweli Lowassa ni muungwana sana na uungwana wake wa kusetiri anguko la serikali wakati ule anawajibika kujiuzulu na kuamua kukaa kimya malipo yake yamekuwa maxhungu kwake. Sasa bora hiyo tarehe 30/5/15 atoe yote aliyoyajua. Kutemwa kwenye uteuzi wa wagombea isiwe sababu kwani tunachotaka ni kuyajua hayo tusiyoyajua juu ya serikali na uongozi wetu.
 
Wadau inafikia wkt tunakosa cha kuchangia maana comments zenu zatosha hususani kwa mwaka huu wa uchaguzi.
 
Kikwete anatamani uchaguzi uwe kesho asepe,CCM hali tete,bahati mbaya rais inasemekana ana mgombea wake tofauti na Lowasa.vita hii
 
HUU ushenzi wa wana CCM usije tupelekea kutuekea mtu fisadi mwizi aliyekubuhu pale IKULU Lowassa ni mchafu kama wana CCM wengine wanapaswa kuondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…