Hamas wapigana kiume Gaza nzima. Warusha makombora ndani ya Israel. Yafukuzana na IDF na kuwaua kadhaa

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,183
10,921
Mapigano makali yasiyotarajiwa yametokea juzi siku ya Jumamosi maeneo yote ya Gaza,kaskazini mpaka kusini.

Katika purukushani hiyo kikosi cha Qassam kimesema kimewaua askari wengi wa Israel.

Hata hivyo Israel imekiri kupoteza askari wawili tu na kudai imewaua wapiganaji kadhaa wa Hamas na wengine kuwakamata.

Hali hiyo imeshangaza kwani imetokea maeneo mpaka ya jiji la Gaza ambako awali IDF walitangaza kuusafisha mji huo kutokana na wapiganaji wa Hamas.

Ving'ora vilisikika kwenye miji ya kusini ya Israel kuashirria kurushwa kwa makombora ya Hamas kutoka Gaza.

Matukio hayo ya kukatisha tamaa kwa IDF yametokea wakati vita vikiingia mwezi wa 5 bila kufikiwa malengo ya vita yaliyotangazwa na huku juhudi kubwa zikifanyika vita visitishwe moja kwa moja.

Israel, Hamas skirmish throughout Gaza as talk of truce resurfaces

1368662751.jpg

God Bless Israel
 
Habari njema sana hii
 
Uongo mwingine hauna maana,chanzo chako hakijasema makombola yamerushwa Wala hao Hamas hawajasema kuwa wameua askari wa Israel,bali hayo ni matamanio yako ambayo hayawezi kufikiwa.
Juma Nature🔊🎼 ulitaka chai chai kwani ulalamike unaungua?🎼🎶
 
This news from Aljazeera Source... Caution do not take it seriously.

Note: Aljazeera news network is in the War with Israel since long time. read all their headline you will understand what I meant.
 
Hao jamaa ni wajinga wakubwa sana, wamesababisha maafa sana. Kuendelea kujificha kwa rai ni kuwateketeza, jitokezeni mpambane na jeshi la Israel, hivyo virocket havisaidii chochote
Unasema nini wewe.
Hapo umeona wametoka mafichoni na kupigana hata kwa silaha chache walizonazo.Mafanikio umeyaona.
 
Wanapigana kiume kwa kujificha nyuma ya wanawake na watoto na kujificha hospitali, makaburini, misikitini, shuleni,majumbani na nguo za kiraia huku magwanda wameyatupa!!! Makombora hayana muelekeo, Haijawahi kutokea jeshi la waoga na wahuni kama hawa duniani.
 
Propaganda za kitoto hizo.
Wanapigana kulingana na hali ya eneo lao.
Gaza hakuna milima wala misitu.wamechimba mahandaki.
wanapigana halafu wanazama humo.Israel anajidai wako misikitini na makaburini kumbe ni janja yao ya kuvunga vitu vya kiislamu.
Israel Kama ni wanaume waingie humo kwenye mahandaki basi kuwafuata mateka wao.Wanapayuka payuka tu huku juu kama bundi aliyeona nyoka.
 
Mapigano makali yasiyotarajiwa yametokea juzi siku ya Jumamosi maeneo yote ya Gaza,kaskazini mpaka kusini.

Katika purukushani hiyo kikosi cha Qassam kimesema kimewaua askari wengi wa Israel.

Hata hivyo Israel imekiri kupoteza askari wawili tu na kudai imewaua wapiganaji kadhaa wa Hamas na wengine kuwakamata.

Hali hiyo imeshangaza kwani imetokea maeneo mpaka ya jiji la Gaza ambako awali IDF walitangaza kuusafisha mji huo kutokana na wapiganaji wa Hamas.

Ving'ora vilisikika kwenye miji ya kusini ya Israel kuashirria kurushwa kwa makombora ya Hamas kutoka Gaza.

Matukio hayo ya kukatisha tamaa kwa IDF yametokea wakati vita vikiingia mwezi wa 5 bila kufikiwa malengo ya vita yaliyotangazwa na huku juhudi kubwa zikifanyika vita visitishwe moja kwa moja.

Israel, Hamas skirmish throughout Gaza as talk of truce resurfaces

Hamas wanawasababishia wapalestina mateso makubwa na gaza imeharibika na wanaendelea kuirushia israel maroketi na israrl ndio anazidi kuichakaza gaza
 
Back
Top Bottom