Hamas walimkuta Joshua amevaa bulletproof

Hamas walimkuta Joshua amevaa bulletproof

Ninavyojua mimi ni kuwa Israel nyumba nyingi hasa zile zilizo karibu na Gaza zina vyumba vinavyoitwa ''safe room'' kwa ajili ya kujificha wakati wa mashambulizi na ndani ya hivyo vyumba kuna vifaa vya kujikinga na mashambulizi kama bullet proof.
Umewahi kufika Israel ukaziona na hizo nyumba zenye safe rooms mkuu?
 
Kufuatia kifo cha Mtanzania Joshua Mollel aliyeuwawa na kundi la Hamas, Baba yake mzazi amefunguka na kusema kuwa alifika eneo alilokuwa akiishi na mwanae ambapo alipata taarifa kuwa kundi la Hamas liliwavamia na kisha kuua wanajeshi watano, ambao walikuwa wakiishi eneo Moja na Joshua!

Ameeleza pia Joshua alikutwa akiwa amevaa Bulletproof, ambapo walimchukuwa na Kisha baadae kumuua.

Kwa maelezo hayo hakika imeendelea kuleta sintofahamu, iweje Joshua ambaye alikwenda Israel Kama mwanafunzi, kuishine eneo Moja na wanajeshi hao waliouwawa pia.

Vile vile suala la kukutwa akiwa amevaa Bulletproof nalo ni kitendawili, kwamba je alipewa avae kama raia wa kawaida ama ni mazingira gani yalipelekea kuvaa hizo bulletproof.

Lakini pia ikumbukwe Hadi Sasa mwili wake haujapatikana na haieleweki Hamas walikouifadhi ama kuupeleka.

Hivyo ni vyema serikali ikaja na majibu sahihi kufuatia hili jipya lililoibuka.

View: https://www.instagram.com/reel/C1crB_6KGs0/?igsh=OGY3MTU3OGY1Mw==

Uwezo wako wa kufikiri na mashaka sana nao, uko below minimum of normal human being IQ.

Baba anasema, baada ya wanajeshi 5 kuuwawa na maharamia, mwanae alikimbia na kuvaa bullet proof. Nchini Israel, bullet proof raia wanapewa bure kabisa kujikinga na maharamia kama utumiavyo net za mbu huko Tz kujinga na mbu.

Kwa wale wanao ijua au wamewahi fika Israel, wanajeshi wanakaa na raia mitaani na raia wengi Israel ni wanajeshi na ukifika Israel hata kama umeenda kusomea Kilimo au Afya au Utalii lazima upewe utayari ya kujikinga ikiwa mtavamiwa na maharamia, yaani mtapewa safety gears na wapi pa kukimbilia ikiwa mtavamiwa au rockets kurushwa mkimbilie wapi, hivyo bila shaka Joshua alivyoona maharamia aliamua kuvaa bullet proof, Israel wanawapa raia wao bullet proof wengi tu.

Hivyo kama hujui vema, usiulize kuleta au kutaka kusema labda Joshua alienda kujiunga na Jeshi la IDF au alikuwa jeshini, sio hivyo, kama hujafika Israel, miji kama Haifa, Tel Aviv, Jerusalem etc hutajua nasema nini, so bullet proof Israel unapewa ili ukikimbia usave maisha, kule bullet proof kama mwavuli bongo unavyotumia wakati wa mvua usiloe, ziko nyingi sana ku save raia ili wakimbie ikiwa watavamiwa, sbb ni vita kila mara. Vile vile magari ya bullet proof Israel ni mengi sana pia.

Nadhani umepata insight kidogo, but it seems akili yako iko chini mno, that leads to or brings or results in unknown fear or creating anxiety from yourself first, then you spread to public like how Corona virus spread and infect human being, control your lowest IQ, unaleta matatizo duniani.
 
Aliuawa na wenzie ila video ndio kwanza inaonyesha yupo barabara na pale ndio wanaanza kumpiga ...Kiufupi ndugu yetu Mtanzania kauliwa ila maelezo ya mzee na video ni vitu tofauti kabisa.

Tukubali amekufa kuchambua hakuna maana kwa vile naona uongo ni mwingi, huyu mzee kapewa story ila haiendani na clip iliyosambaa mwanzoni.

Wanasema kauliwa ila taarifa za awali walisema katekwa yeye na mwenzie.
Pengine walimchukuwa kutoka kwenye eneo baada ya kuua wale wanajeshi? Kama mlifuatilia maelezo ya mwanzoni wakati wa shambulizi ni kuwa ilikuwa ni ambush na kawaida hayo maeneo yanakuwa na askari muda wote. Sasa walipovamiwa kitu walichofanya kila mtu alikimbilia kwenye safe room (hili ni jambo la kawaida na nyumba zote zina safe room). Hamas walikuwa wamejiandaa sana, hivyo walianza kuvunja safe rooms (huwa zinakuwa na milango ya chuma cha pua) na mara nyingi hujengwa kwa kuchimba chini, bila kuwa na dirisha. Waliweza kuvunja milango ya nyumba nyingi na kuchukuwa mateka au kuua watu wengine.
 
we jamaa ni mjuvi wa mambo nyeti, unajua tuna ushirikiano wa ulinzi na usala na israel? Kwa kuwa wame advance kimedani tukipeleka vijana wetu wakafundishwe huko kuna ubaya? Unaenda mafunzoni mara unakutana na kitu halisi ulichoenda kujifunza itabidi uingie mzigoni kufa na kupona. Je kama alikuwa anajifunza ukomando?
Ndio Kuna ubaya: Huo ushirikiano unaenda kuwa train Vijana wako Kwa kushughulika na Hamas? Ulitaka Hamas wakuchekee au?

Kwenye Mafunzo Kuna matokea 3,ushindwe,ushindwe au mtoke sare
 
Pengine walimchukuwa kutoka kwenye eneo baada ya kuua wale wanajeshi? Kama mlifuatilia maelezo ya mwanzoni wakati wa shambulizi ni kuwa ilikuwa ni ambush na kawaida hayo maeneo yanakuwa na askari muda wote. Sasa walipovamiwa kitu walichofanya kila mtu alikimbilia kwenye safe room (hili ni jambo la kawaida na nyumba zote zina safe room). Hamas walikuwa wamejiandaa sana, hivyo walianza kuvunja safe rooms (huwa zinakuwa na milango ya chuma cha pua) na mara nyingi hujengwa kwa kuchimba chini, bila kuwa na dirisha. Waliweza kuvunja milango ya nyumba nyingi na kuchukuwa mateka au kuua watu wengine.
Kuna video ya tatu watanzania wengi hwajaiona ...Ule mwili jamaa walipiga parade na kuuzungusha akiwa uchi na boxer tu .
 
Alikuwa anaishi na wanajeshi ??
Shambulizi la ghafla na kubwa kama lile bila shaka lilikuta watu wakiwa kwenye maeneo mbalimbali na hivyo kitu cha kwanza ni kila mtu kukimbilia kwenye safe room iliyo karibu. Wanajeshi wa Israel walielemewa na wao wakaingia mafichoni hivyo uwezekano wa kukutana ndani ya safe room watu wa wasiojuana ni mkubwa.
 
Kufuatia kifo cha Mtanzania Joshua Mollel aliyeuwawa na kundi la Hamas, Baba yake mzazi amefunguka na kusema kuwa alifika eneo alilokuwa akiishi na mwanae ambapo alipata taarifa kuwa kundi la Hamas liliwavamia na kisha kuua wanajeshi watano, ambao walikuwa wakiishi eneo Moja na Joshua!

Ameeleza pia Joshua alikutwa akiwa amevaa Bulletproof, ambapo walimchukuwa na Kisha baadae kumuua.

Kwa maelezo hayo hakika imeendelea kuleta sintofahamu, iweje Joshua ambaye alikwenda Israel Kama mwanafunzi, kuishine eneo Moja na wanajeshi hao waliouwawa pia.

Vile vile suala la kukutwa akiwa amevaa Bulletproof nalo ni kitendawili, kwamba je alipewa avae kama raia wa kawaida ama ni mazingira gani yalipelekea kuvaa hizo bulletproof.

Lakini pia ikumbukwe Hadi Sasa mwili wake haujapatikana na haieleweki Hamas walikouifadhi ama kuupeleka.

Hivyo ni vyema serikali ikaja na majibu sahihi kufuatia hili jipya lililoibuka.

View: https://www.instagram.com/reel/C1crB_6KGs0/?igsh=OGY3MTU3OGY1Mw==

Huwa sikisii.

Niliwahi kuandika hivi, naona bado watu hawajanielewa:

Makamba na Bashe wanalo la kutujibu Watanzania kuhusu vijana wanaowapeleka Israel

Hili jinamizi litamtafuna maisha mpaka Mama Samia Suluhu ambae kwa sasa anauelewa ukweli lakini yupo radhi Waislam wenzake wauliwe kwa uoga tu wa kukosa madaraka.

Serikali ya Tanzania haina tofauti na serikali za kinafiki za Saudi arabia, UAE, Bahrain na Oman. Ni heri ya Qatar wanajitowa kimasomaso ingawa na wao ni walewale tu.

Vidume duniani mpaka sasa ni Wapalestina, Yemen, Afghanistan na wa Lebanon. hwataki ujinga wala hawatafuni maneno.
 
Umewahi kufika Israel ukaziona na hizo nyumba zenye safe rooms mkuu?
Niliambiwa na jamaa kutoka huko. Siyo Israel tu ila niliwahi kwenda Finland na kukuta nyumba kama hizo. Ni kila nyumba inakuwa nazo, na ndani wanaweka vitu vya akiba iwapo litatokea la kutokea.
 
ETI taifa teule?! My ass!
Fuatilia story za wayahudi OG. Ni MAKATILI wauaji, waporaji wa ardhi, wana roho ngumu kuliko almasi!
Wana laana ya milele hao! Hawapendi wakristo au waislamu, weusi au wanjano!
Tena wa Sasa ni wa kuiga tu, na mnajuwa watu wakuiga walivyo wabaya kuliko wale OG!
 
Wote wahuni hakuna wakuwaamini
Unafikiri Serikali ingekuwa haielewi kinachoendelea ingemfanyia safari baba'ke Joshua aende huko? Akawe mgeni wa nani?

Hakuna uhuni wala nini, serikali inaelewa kinachoendelea, kama ni uhuni basi unafanyiwa na serikali yako.
 
ETI taifa teule?! My ass!
Fuatilia story za wayahudi OG. Ni MAKATILI wauaji, waporaji wa ardhi, wana roho ngumu kuliko almasi!
Wana laana ya milele hao! Hawapendi wakristo au waislamu, weusi au wanjano!
Tena wa Sasa ni wa kuiga tu, na mnajuwa watu wakuiga walivyo wabaya kuliko wale OG!
Hawa wajinga ndiyo waliwao wameaminishwa ujinga na mazayuni.

Waisome histoia ipi hao najisi wala najisi, hata wakinya wanatoka na najisi mpaka wayahudi wanawatemea makohozi njiani.
 
Hawa wajinga ndiyo waliwao wameaminishwa ujinga na mazayuni.

Waisome histoia ipi hao najisi wala najisi, hata wakinya wanatoka na najisi mpaka wayahudi wanawatemea makohozi njiani.
Huyo Mungu wenu mmoja hana mshirika mwarabu ni hopeless. Bure kabisa.
 
Back
Top Bottom