Hamas walimkuta Joshua amevaa bulletproof

Hamas walimkuta Joshua amevaa bulletproof

Akili ndogo sana inatumika hapa Israel ni iko na Vita ,wanajeshi wako kila mahali kwa maana ya kuimarisha ulinzi,maeneo yaliyovamiwa yapo karibu na mpaka wa Gaza hivyo uwepo wa wanajeshi haushangazi,punguzeni upofu wa udini.
 
It's obvious mzee yupo distraughted na ana uchungu. Kuna details lazima awe amezichanganya. Akiwa ametulia vizuri atajieleza vizuri.
Lakini sidhani kama ilikuwa ni sawa kutoa statement kabla ya serikali haijatoa clarification ya kilichotokea
 
Kama kafa kijeshi kwanini asizikwe tu huko huko? Na Isreal

..familia yake inahitaji mwili wake, ndio maana naamini ni sahihi kuzikwa Tanzania.

..mimi naifikiria familia zaidi na machungu wanayopitia.
 
Back
Top Bottom