Hamas walimkuta Joshua amevaa bulletproof

Hamas walimkuta Joshua amevaa bulletproof

Don't bring silly quotes here just agree that you can't compete with me on anything I would rather compete with a cow thank you un matured boy
"I FIGHT WITH THE ONES I CAN BUILD SKILLS THROUGH IT, IF I STAY SILENCE THAT'S WHEN YOU SHOULD KNOW YOU CAN'T BE ON MY LEVELS" ~~by captain fire
Nafikiri umeona wenye akili wanavyoweza kukutoa kwenye matusi na kuongea kawaida.

Nilifikiri ni kweli unajiamini kumbe coward?
Tunaamua tu uache kutukana na unaacha.

Umeona mpaka sasa ulivyo foolish
Tukikuambia uache matusi unaacha mara moja,

Hongera dogo umekua kijana kizuri
 
Ni kashfa kubwa kuhusu Joshua Mollel na serikali.
Aliyekufa Urusi angalau ilielezwa kuwa alikuwa mfungwa aliyekubali kujiunga na Prighozin ili baadae aachwe huru.
je kama joshua alitekwa na kuvalishwa gwanda na kupelekwa mstari wa mbele kwenye mapambano, hapo vipi?
 
Hiyo Octoba 7 walikua wanaua na kuteka wanajeshi peke yake? Wale watoto wote waliouawa ni wanajeshi? Wewe ukiona mashambulizi kama hayo ukaona sehemu inayo kugarantee usalama hataenda? Kiona bullet proof hautichukua uivae kujilinda? Au ukipewa hsutaipokea?
Huwa mnafikiria kweli?
Elewa joshua amekutwa kambini na wenzake hapo hapo wanajeshi wa 5 waliuwawa. Yeye akatolewa nje na hamas wakamchukua. Hao watoto na watu wengine wao waliuwawa kwenye tamasha la music siyo kambini.mbona haihitaji akili nyingi kutambua kijana wetu alikuwa mpiganaji?
 
Elewa joshua amekutwa kambini na wenzake hapo hapo wanajeshi wa 5 waliuwawa. Yeye akatolewa nje na hamas wakamchukua. Hao watoto na watu wengine wao waliuwawa kwenye tamasha la music siyo kambini.mbona haihitaji akili nyingi kutambua kijana wetu alikuwa mpiganaji?
Aisee..
 
Nguo za fatigue ni za kawaida kwa wenzetu, siyo kile mwenye kuvaa fatigure ni mwajeshi bali hizo ni nguo za suluba kwa mfano kufanya kazi mashambani au kuwinda maporini. Jeshi la Israel halichukui mtu asiyekuwa Myahudi kuogopa kutoa siri. Jeshi lote la israeli ni la wayahudi tu. Yeye kuisha eneo moja na askari wa israle siyo jambo la ajabu kwa vijana wote wa israle ni wanajeshi; kuna wale ambao ni active na wale wa akiba
Bado sana hujajua mambo ya kijeshi kama unaamini kila askari huwa kuna siri nzito wanazitunza huo ni uongo kwenye nchi wanaojua mambo muhimu na kutunza siri ni wachache sana askari wanatumika kama walinzi tu hata ukinpenyeza mamluki kwenye jeshi lolote ataishia kuwa mpiganaji tu anaepewa maelekezo ambayo ni amri kwake na muda mwingine huwa wanapigana bila kujua uhalisia kuwa wanachopigania ni nini

ili ujue siri inabid uwe na nafasi kubwa kitu ambacho siyo rahisi kupata hiyo nafasi kama hawana uhakika na historia yako, kwahiyo huyo Mollel anaweza kutumika vizuri tu kama askari wa IDF kwa manufaa ya Israel
 
Nguo za fatigue ni za kawaida kwa wenzetu, siyo kile mwenye kuvaa fatigure ni mwajeshi bali hizo ni nguo za suluba kwa mfano kufanya kazi mashambani au kuwinda maporini. Jeshi la Israel halichukui mtu asiyekuwa Myahudi kuogopa kutoa siri. Jeshi lote la israeli ni la wayahudi tu. Yeye kuisha eneo moja na askari wa israle siyo jambo la ajabu kwa vijana wote wa israle ni wanajeshi; kuna wale ambao ni active na wale wa akiba
mtasema tu ukweli
 
Kwanza ulishawah kufika Israel ukajua wanaishije Chief. Halafu unatakiwa kujua hilo eneo ni eneo hatar kijesh kuvaa bullets proof mbona kawaida
Kuvaa bullet proof kawaida!!!!!
🤣🤣🤣
 
Nimemuuliza swali jamaa anayesema Hamas walaaniwe Kwa kuishambulia Israel.
ni wapuuzi, wameanzisha vita ambayo hawana uwezo wa kushinda, ona sasa maangamizi wanayoyapata. Waombe mazungumzo ya amani vita iishe
 
Kwa kweli kwanza lazima niwaonee huruma wana familia kwa kupoteza mtoto lakini jana kuna vitu viwili kaongea mzee vinatia mashaka kidogo. Kwanza askari wa tano waliuwawa katika sehemu waliyokuwa wanaishi, sasa kweli wanajeshi wanaishi na raia wa kawaida wanafunzi? na kwanini alichukuliwa yeye tu kwenye hiyo kambo hakukuwa na wanafunzi wengine? na ni chuo gani hicho ili tu google tujuwe location. Alijificha safe room lakini walivunja na kumchukuwa na alikuwa amevaa bullet proof, alipata wapi hii kitu raia wa kawaida? nadhani kuna shida sehemu. Huwa tunasikia kaende chuo lakini sijasikia chuo hicho kikitajwa.
Kuna jambo halisemwi. Halitasemwa.
Mimi pia kijana wangu alikua aende kwenye mafunzo ya kilimo pia.
 
Huyu baba mtu aliyeenda juzi tu kaja na hizi taarifa?

Uchunguzj kaufanyia wapi?

Kama ameweza kuchunguza na kujua kijana alivaa bulletproof kwanini hajui sababu ya kuivaa?
Kapewa habari na wahusika wenyewe.
Machache kaongea. Mengine ni yake mwenyewe...
 
sasa kama mmeenda kupata kupata mafunzo ya kimedani kwenye nchi fula, mara inatokea vita, si ndiyo fursa ya kupelekwa kwenye uwanja wa vita ukajifunze kwa vitendo? Wangejifunzia wapi kwa vitendo?
Sasa kitakachokukuta huko usilaumu,ni Ajali kazini
 
Magaidi wa kiislamu wafusia wa allah kundi la Hamas ndio walio muuwa Joshua
Na balozi anaewakilisha palestina na eneo la gaza tunae hapa nchini.
Huyo atakuwa ni shoga, alienda kufanya nini na mashoga?
 
Hebu kuweni wazalendo wa nchi yetu acheni kuhojihoji kijana kafaje katika mazingira yale ya vita. Kuna mambo haihitaji akili kubwa kuyaelewa kimedani
Uzalendo wa kwenye ushoga??😭😭😭
 
Back
Top Bottom