Hamas walimkuta Joshua amevaa bulletproof

Hamas walimkuta Joshua amevaa bulletproof

cha ajabu nini kama alikwenda kujifunza ukomando bahati mbaya akafia field?
Kuna sehemu nimesema Kuna Cha ajabu? Rudi kasome nilichoandika ukielewe, inaonekana hujaelewa umekurupuka kureply tu!!!
Utaacha ukilaza lini?
 
Fahamu kuwa israel iko vizuri kimedani duniani, mnapoteza kumbukumbu ya ziara za viongozi wa mataifa mbalimbali wanaokuja nchini
 
Huyu alikuwa askari, Ile pensi/boxer ya kijeshi iliyoonekana amevaa wakati akiburuzwa inafikirisha!!
Yawezekana alijiunga na jeshi la Israel Kwa Siri bila "sirikali" ya Tz kufahamu, ama Siri Kali ilipeleka vijana huko ikijua watakwenda kufanya nini, ila ikatumia chambo ya kilimo!!!
Hili litakuwa ni gumu Kwa sir-kale kukiri hadharani!!
Mtz aliyeuwawa akipigana Urus Hadi Leo kimyaaaaa!!!!
kama israel tunawa appreciate kwa mambo ya kimedani tukipeleka vijana wetu shule huko nje, ukute taifa hilo linaingia vitani, hao wanafunzi wa medani itabidi wainginzwe kwenye mafunzo ya kivitendo moja kwa moja kufa na kupona. Mafunzo kwa vitendo kwenye eneo halisi. Hujui kuwa angepona angefuzu mafunzo ya ukomando kwa faida ya nchi yako?
 
Kwa putini tunatakiwa tumuombe tumpe vijana kadhaa wafundishwe medani huko kwenye uwanja wa vita vijana wakajue namna ya kutumia zana za kisasa za kivita, kidigitali, wengine nako tumuombe zelensky atufundishie kutumia yale masilaha ya nchi za magharibi anayopewa kuibondea urusi. Vijana wetu inshaallah wakirudi toka field watakuwa ni wataalamu wa kutumia silaha hizo kali. Si vibaya kuwa na wataalamu wa kutumia zana hizo
 
Tulisema humu yule dogo alikuwa mpiganaji upande wa IDF
Na Justine Mtenga wa Rombo naye alikuwa mpiganaji wa IDF, dawa ya mafirauni wafuga majini ni Israel waendelee na kazi huko Gaza mpaka wasalimu amri. Mnatetea mauaji ya mtanzania mwenzenu!!! Mmelaaniwa wasaliti kutetea manwana zenu. Hata kama alikuwa askari hakuwa na silaha sheria kuhusu prisoners of war zipo wazi, walimuua kwa kuwa walimuona Mweusi hana thamani kwao kumteka.
 
Kufuatia kifo Cha Mtanzania Joshua Mollel aliyeuwawa na kundi la Hamas, Baba yake mzazi amefunguka na kusema kuwa alifika eneo alilokuwa akiishi na mwanae ambapo alipata taarifa kuwa kundi la Hamas liliwavamia na Kisha kuua wanajeshi watano, ambao walikuwa wakiishi eneo Moja na Joshua!
Ameeleza pia Joshua alikutwa akiwa amevaa Bulletproof, ambapo walimchukuwa na Kisha baadae kumuua!

Kwa maelezo hayo hakika imeendelea kuleta sintofahamu, iweje Joshua ambaye alikwenda Israel Kama mwanafunzi, kuishine eneo Moja na wanajeshi hao waliouwawa pia!
Vile vile suala la kukutwa akiwa amevaa Bulletproof nalo ni kitendawili, kwamba je alipewa avae Kama raia wa kawaida ama ni mazingira Gani yalipelekea kuvaa hizo bulletproof!

Lakini pia ikumbukwe Hadi Sasa mwili,wake haujapatikana na haieleweki Hamas walikouifadhi ama kuupeleka!

Hivyo ni vyema serikali ikaja na majibu sahihi kufuatia hili jipya lililoibuka!


View: https://www.instagram.com/reel/C1crB_6KGs0/?igsh=OGY3MTU3OGY1Mw==

Asituzingue huyo alienda Kwa Mafunzo ya kijeshi,Hammas sio wapumbavu kiasi hicho.
 
Kufuatia kifo cha Mtanzania Joshua Mollel aliyeuwawa na kundi la Hamas, Baba yake mzazi amefunguka na kusema kuwa alifika eneo alilokuwa akiishi na mwanae ambapo alipata taarifa kuwa kundi la Hamas liliwavamia na kisha kuua wanajeshi watano, ambao walikuwa wakiishi eneo Moja na Joshua!

Ameeleza pia Joshua alikutwa akiwa amevaa Bulletproof, ambapo walimchukuwa na Kisha baadae kumuua.

Kwa maelezo hayo hakika imeendelea kuleta sintofahamu, iweje Joshua ambaye alikwenda Israel Kama mwanafunzi, kuishine eneo Moja na wanajeshi hao waliouwawa pia.

Vile vile suala la kukutwa akiwa amevaa Bulletproof nalo ni kitendawili, kwamba je alipewa avae kama raia wa kawaida ama ni mazingira gani yalipelekea kuvaa hizo bulletproof.

Lakini pia ikumbukwe Hadi Sasa mwili wake haujapatikana na haieleweki Hamas walikouifadhi ama kuupeleka.

Hivyo ni vyema serikali ikaja na majibu sahihi kufuatia hili jipya lililoibuka.


View: https://www.instagram.com/reel/C1crB_6KGs0/?igsh=OGY3MTU3OGY1Mw==

Kwanza ulishawah kufika Israel ukajua wanaishije Chief. Halafu unatakiwa kujua hilo eneo ni eneo hatar kijesh kuvaa bullets proof mbona kawaida
 
Tuachane na masuala ya uislam na ukristo.
Tukubaliane hapa kwamba Vita haina macho , Hamas imeua wengi wasiohusika na vita na IDF vile vile imeua wengi wasiohusika na vita.

Wote waliouwawa wakiwa hawahusik na vita ni binadam, hivyo tupaze sauti kukataa vita na kuhubiri Amani .
 
Kama tunakiri ni eneo hatari , iweje tupeleke kijana kujifunza kilimo eneo Hilo?
Yale maeneo hatar Israel imeyageuza ni ardhi ya kilimo na sio mtz tu wapo watu wengi kutoka maeneo mengi hata hao wapalestina wenyewe wanaingiaga kufanya kaz na kuondoka. So kusoma kuna darasan na site. Na kwa taarifa yako Israel yenyewe wapo wahamiaji haram wengi tu kutoka Ethiopia Eritrea nk. Ukiwa unaambiwa kitu uwe unasoma vitabu tofauti au ukipata hela tembea utajua. Achana na elimu ya kulishwa ya madrasas
 
Huyu alikuwa askari, Ile pensi/boxer ya kijeshi iliyoonekana amevaa wakati akiburuzwa inafikirisha!!
Yawezekana alijiunga na jeshi la Israel Kwa Siri bila "sirikali" ya Tz kufahamu, ama Siri Kali ilipeleka vijana huko ikijua watakwenda kufanya nini, ila ikatumia chambo ya kilimo!!!
Hili litakuwa ni gumu Kwa sir-kale kukiri hadharani!!
Mtz aliyeuwawa akipigana Urus Hadi Leo kimyaaaaa!!!!
Sawa sawa na hii ya kumpeleka baba ake ni kwenda kupewa ukweli na urithi wa mtoto wake km mzazi ...itakua ndio jina alilojaza km mrithi ikitokea amekufa ni baba ake

Na huo mwili lzm Hamas waliiutupa au wameuchukua km ushahidi kuwa Israel ina mamluki ..na kuoneshana ktk site zao mitandaoni

Kifupi Joshua alikua soldier wa IDF
 
Huyu baba mtu aliyeenda juzi tu kaja na hizi taarifa?

Uchunguzi kaufanyia wapi?

Kama ameweza kuchunguza na kujua kijana alivaa bulletproof kwanini hajui sababu ya kuivaa?
 
Huyu alikuwa askari, Ile pensi/boxer ya kijeshi iliyoonekana amevaa wakati akiburuzwa inafikirisha!!
Yawezekana alijiunga na jeshi la Israel Kwa Siri bila "sirikali" ya Tz kufahamu, ama Siri Kali ilipeleka vijana huko ikijua watakwenda kufanya nini, ila ikatumia chambo ya kilimo!!!
Hili litakuwa ni gumu Kwa sir-kale kukiri hadharani!!
Mtz aliyeuwawa akipigana Urus Hadi Leo kimyaaaaa!!!!
Hebu acheni akili zenu hizo. Chupi za kijeshi ndiyo huwa zipoje hizo?
Ile chupi ni ya jeshi la nchi gani? Hata mavati ya Jeshi la Israel mnayajua kweli?
Clemence na yeye aliuawa baada ya kukutwa kavaa chupi ya jeshi? Raia wengine wa nchi nyingine waliouawa na walioachiwa na wao walikuwa mamevaa mavazi ya kijeshi? Mnatengeneza story zisizo na kichwa wala miguu ili ku justify mauaji wa kijana Mtanzania mwenzetu ili muwasafishi Magaidi wa HAMAS kisa mna share dini
 
Back
Top Bottom