Hamas walimkuta Joshua amevaa bulletproof

Hamas walimkuta Joshua amevaa bulletproof

Huyu alikuwa askari, Ile pensi/boxer ya kijeshi iliyoonekana amevaa wakati akiburuzwa inafikirisha!!
Yawezekana alijiunga na jeshi la Israel Kwa Siri bila "sirikali" ya Tz kufahamu, ama Siri Kali ilipeleka vijana huko ikijua watakwenda kufanya nini, ila ikatumia chambo ya kilimo!!!
Hili litakuwa ni gumu Kwa sir-kale kukiri hadharani!!
Mtz aliyeuwawa akipigana Urus Hadi Leo kimyaaaaa!!!!
Mimi nina boxer ya kijeshi na handkerchief ya kijeshi na sio mwanajeshi. Tumia akili ata kwa kuazima tu.
 
Kufuatia kifo cha Mtanzania Joshua Mollel aliyeuwawa na kundi la Hamas, Baba yake mzazi amefunguka na kusema kuwa alifika eneo alilokuwa akiishi na mwanae ambapo alipata taarifa kuwa kundi la Hamas liliwavamia na kisha kuua wanajeshi watano, ambao walikuwa wakiishi eneo Moja na Joshua!

Ameeleza pia Joshua alikutwa akiwa amevaa Bulletproof, ambapo walimchukuwa na Kisha baadae kumuua.

Kwa maelezo hayo hakika imeendelea kuleta sintofahamu, iweje Joshua ambaye alikwenda Israel Kama mwanafunzi, kuishine eneo Moja na wanajeshi hao waliouwawa pia.

Vile vile suala la kukutwa akiwa amevaa Bulletproof nalo ni kitendawili, kwamba je alipewa avae kama raia wa kawaida ama ni mazingira gani yalipelekea kuvaa hizo bulletproof.

Lakini pia ikumbukwe Hadi Sasa mwili wake haujapatikana na haieleweki Hamas walikouifadhi ama kuupeleka.

Hivyo ni vyema serikali ikaja na majibu sahihi kufuatia hili jipya lililoibuka.

View: https://www.instagram.com/reel/C1crB_6KGs0/?igsh=OGY3MTU3OGY1Mw==

Kwa Israel ni jambo la kawaida kujiandaa na emergency. Sio yeye tu. Raia kibao wana bullet proof vests na kila nyumba ina safety bunkers. Hiyo bado sio sababu.
 
Angalia wenzako wanakuja na hoja! Lini mnafungua shule maana humu J.F hapakaliki
suala la kufungua shule hiyo defense to comfort your emotional.

Kama unayo hoja weka hapa tujadili.

Una akaunti zaidi ya sita?😂

Hio mechanism ya kujilinda unatumia 21st century?
 
suala la kufungua shule hiyo defense to comfort your emotional.

Kama unayo hoja weka hapa tujadili.

Una akaunti zaidi ya sita?😂

Hio mechanism ya kujilinda unatumia 21st century?
Leta hoja wewe uliekurupukia kujibu comments zangu maana nilikuwa na bishana na watu kidogo wananikaribia level ila naona dogo ukarukia comments
 
Jamaa haozi.
Hamas wanafukia ndugu zao ila jamaa wanaye tu.
Jamaa ni special Sana .
Tunahitaji viongozi sio Wanasiasa.....ni uhuni uhuni tu.
 
Kama ungekuwa smart ungejua kuna maswali ambayo hayajibiwa
1. Kwa nini Joshua auwawe na kuchukuliwa mwili wake ila askari wauwawe na kuachwa hapo
2. Tangu lini waislam (hata kama ni waasi) wakakaa na mwili wa mtu aliyekufa
3. Umewahi kuona au kusikia video yoyote ya mtu aliye uwawa katika hiyo vita na kurecodiwa video nzuri vile wakati anauwawa
4. Kusema Allah akbaru kusikuchanganye; Kwani muislam akisema Yesu! maana yake ni Mkristo!
5. Pengine hata hizo sare mnazo ita za kijeshi alivalishwa kabla ya kufanyiwa huo unyama ili kuchanganya watu
6. Nahisi sababu za kifo chake hazikuwa zinaeleweka vizuri (zipo kama movies) na ndio sababu wakaona Mzazi wake aende akaelezewe mwenyewe....

Sitaki kuhukumu ila kinacho onekana hapa ni kama vile, kijana wetu ametolewa kafara kufanya kundi moja liungwe mkona na watu weusi!
Wala sipingani na wewe yawezekana walio muuwa Joshua ni wayahudi maana ile video ukiiangalia vizuri ina utata
Sawa tuliona hapa asilimia kubwa ya waislamu walivyo unga mkono yale mauaji ya Jo na kuleta photoshop akiwa amevaa nguo za kijeshi
 
Behaviour pattern za watu wenye wajukuu huwezi kuwa humo!

Kuna mawili.

Mosi, upo kwa wazazi.

Pili, jobless.

njoo tuongelee hoja mdogo wangu.
Subiri nipige "morning glory" kwa shemeji yako, wewe usiekuwa na demu kapige masta bafuni!
 
Leta hoja wewe uliekurupukia kujibu comments zangu maana nilikuwa na bishana na watu kidogo wananikaribia level ila naona dogo ukarukia comments
Wewe ndio ulikuwa unabishana sababu bado upo kwa wazazi😂

Angalia sir john roberts, tazama bwana utam hao ndio wanajadilana kwa hoja wewe huna unalojua zaidi ya matusi na baada ya kujiona mjinga umeacha kutukana!

Una pointi?
 
Behaviour pattern za watu wenye wajukuu huwezi kuwa humo!

Kuna mawili.

Mosi, upo kwa wazazi.

Pili, jobless.

njoo tuongelee hoja mdogo wangu.
images-8.jpg

Kwamba mtu "jobless" ale vyuma kama hivi? Kuwa serious mdogo wangu!
 
Wewe ndio ulikuwa unabishana sababu bado upo kwa wazazi😂

Angalia sir john roberts, tazama bwana utam hao ndio wanajadilana kwa hoja wewe huna unalojua zaidi ya matusi na baada ya kujiona mjinga umeacha kutukana!

Una pointi?
Ukikua utaacha kubishana na wakubwa, kaoge uende tuishieni
 
Huyu alikuwa askari, Ile pensi/boxer ya kijeshi iliyoonekana amevaa wakati akiburuzwa inafikirisha!!
Yawezekana alijiunga na jeshi la Israel Kwa Siri bila "sirikali" ya Tz kufahamu, ama Siri Kali ilipeleka vijana huko ikijua watakwenda kufanya nini, ila ikatumia chambo ya kilimo!!!
Hili litakuwa ni gumu Kwa sir-kale kukiri hadharani!!
Mtz aliyeuwawa akipigana Urus Hadi Leo kimyaaaaa!!!!
Nguo za fatigue ni za kawaida kwa wenzetu, siyo kile mwenye kuvaa fatigure ni mwajeshi bali hizo ni nguo za suluba kwa mfano kufanya kazi mashambani au kuwinda maporini. Jeshi la Israel halichukui mtu asiyekuwa Myahudi kuogopa kutoa siri. Jeshi lote la israeli ni la wayahudi tu. Yeye kuisha eneo moja na askari wa israle siyo jambo la ajabu kwa vijana wote wa israle ni wanajeshi; kuna wale ambao ni active na wale wa akiba
 
When i choose to keep quiet it doesnt mean that i am afraid of you or i agree with what you said, it means your level of stupidity left me speechless
✌️Peace
Don't bring silly quotes here just agree that you can't compete with me on anything I would rather compete with a cow thank you un matured boy
"I FIGHT WITH THE ONES I CAN BUILD SKILLS THROUGH IT, IF I STAY SILENCE THAT'S WHEN YOU SHOULD KNOW YOU CAN'T BE ON MY LEVELS" ~~by captain fire
 
Back
Top Bottom