Hamas walimkuta Joshua amevaa bulletproof

Hamas walimkuta Joshua amevaa bulletproof

K

Kwahiyo kama sijawahi kumuona Mungu nisiulize anachosema huyu jamaa kuhusu nyumba kuwa na mashimo?

Nyie watumwa wa fikra mna shida sana aisee
Ndiyo kwa sababu hiyo ni common knowledge inapokuja kwa maisha ya waisrael. Yaani unaambiwa Masai anatembea na mkuki wewe unashangaa?!
 
angalia wanavyosambaratishwa na drones, kinachoruka ni vipande vya nyama tu ambavyo mbwa na paka wanapita wakivila mchana.
 
Kinacho leta sinto fahamu ni serikali kutojitokeza kutolea ufafanuzi wa hili jambo wamekaa kimia sijui wana ficha nn hasa ambacho hatutakiwi kujua ,yaani maccm ni majitu ya hovyo sana.
We ujui kwamba rais wako ni muarabu sema bongo bahati mbaya?
 
..mwili wa kijana Mtanzania urudishwe ili familia imzike.

..haijalishi ameuawa na nani, na alikuwa akifanya eneo maiti yalipomkuta.

..serikali inao wajibu wa kurejesha mwili wake.

..Ni raia wa Tanzania.
 
Now mmekiri waliomuua ni hamas na sio Israel bado mtasema
 
Kwenye ile video sijaona bullet proof.au mimi ndo sioni vizuri.
 
kama israel tunawa appreciate kwa mambo ya kimedani tukipeleka vijana wetu shule huko nje, ukute taifa hilo linaingia vitani, hao wanafunzi wa medani itabidi wainginzwe kwenye mafunzo ya kivitendo moja kwa moja kufa na kupona. Mafunzo kwa vitendo kwenye eneo halisi. Hujui kuwa angepona angefuzu mafunzo ya ukomando kwa faida ya nchi yako?
This is such a dumb take. Huwa mimi siongei na terrorists wa JamiiForums ila this is a nonsense take. Kwahio wa Thailand wanaoenda kufanya kazi wanaenda kufanya hivyo unavyosuggest? This was an innocent kid killed ffs
 
Sawa sawa na hii ya kumpeleka baba ake ni kwenda kupewa ukweli na urithi wa mtoto wake km mzazi ...itakua ndio jina alilojaza km mrithi ikitokea amekufa ni baba ake

Na huo mwili lzm Hamas waliiutupa au wameuchukua km ushahidi kuwa Israel ina mamluki ..na kuoneshana ktk site zao mitandaoni

Kifupi Joshua alikua soldier wa IDF
Dumb ass
 
Kwa putini tunatakiwa tumuombe tumpe vijana kadhaa wafundishwe medani huko kwenye uwanja wa vita vijana wakajue namna ya kutumia zana za kisasa za kivita, kidigitali, wengine nako tumuombe zelensky atufundishie kutumia yale masilaha ya nchi za magharibi anayopewa kuibondea urusi. Vijana wetu inshaallah wakirudi toka field watakuwa ni wataalamu wa kutumia silaha hizo kali. Si vibaya kuwa na wataalamu wa kutumia zana hizo
Hamna faida, jeshi halina vifaa vingi vya kisasa. Watajifunza na watakaa mpaka wanastaafu hawatawahi kutumia.
 
Back
Top Bottom