Hamad Rashid: Zitto ataondoka na wengi!

Hamad Rashid: Zitto ataondoka na wengi!

Zitto ni mwanasiasa aliyelewa sifa
Acha awe fundisho kwa wanasiasa vijana kuwa msingi wa kuendelea kuwa maarufu kwenye siasa ni pamoja na kuzingatia sheria kanuni na taratibu za Taasisi

Alidhani yeye ni zaidi ya chama chake
 
Kwa kauli hiyo kuna kila dalili ya wasaliti kuungana,ADC ya Hamad na ACT ya Zitto.Stay tuned!!
 
Aende yani huku hatumtaki mpaka basi yani,ndumilakuwili hatuwataki sisi.
 
Wengi wanaanzia wawili aondoke nao kama walimfuata zito wasepe tunauza sera sio watu mmoja mmoja
 
Kila mtu ana judge hii post kwa kusoma heading ya hilo gazeti tu, mbona hamtuwekei kilichoandikwa ndani, coz tunajua kuwa waa dishi wetu wengi ni makanjanja, heading na kilichoandikwa ndan vinaweza kuwa tofauti,so tuwekeeni kilichoandikwa ndani ili tujadili kiuweledi zaidi.Do'nt judge the book by looking the cover.
 

"we have to stop and ask ourselves why we repeatedly get into these situations of failure, excuse and denial"

It's a matter of two things, first insufficient competence on the part of nominal leaders and, second, the belief that "positioning the truth" is a form of governing or management. Unfortunately, you can only be confident enough to be honest if you are both competent and seen to be competent. Otherwise any honesty will be overcome by lying bullsh¡t. In many cases leaders see the consequences of their actions only after they take them, not before, because they haven't learned and experienced enough of how the world works. Having unknowingly put themselves in a manifestly bad position they resort to scapegoating and redefining reality to divert the blame they deserve for their inadequate competence.

In addition, it must be accepted that a number of people are not acting with the objectives they claim to be following. There are politicians who simply want to enrich themselves or have the satisfaction of telling others how to behave and who are primarily interested in perpetuating their careers. There are managers who act mainly to line their own pockets and not chiefly in the interests of the business for which they ostensibly work. A certain proportion of people in leadership positions are simply crooks, either legally or morally. They like it like that and don't want any change or transparency.

Finally, there is short-termism, where press deadline pressure makes people feel as if they constantly need to do something so they can be part of the news cycle. It makes for poorly thought out decisions (if they are thought out at all) and for a lack of the long view, which allows preparation for likely events whose precise timing and exact nature may not be predictable and to which quick responses may not be feasible.
 
Halahala Zitto asiishie na mtabiri wake Hamad wakajikuta wote ni jobless comes 2015 election.
 
Ataondoka na wasaliti wenzake kwenda kwenye chama cha wasaliti wenzake ACT.zitto ccm wamemponza halafu hawataki hata kumkaribisha ccm .
 
Mfa Maji Haachi Kutapatapa, Is too late, Mbona alifukuzwa Siku Nyingi na hakuna Impact yoyote ambayo CHADEMA imefeel. Kashachelewa Labda atawapata watu wa Jimboni mwake; Watanzania Kwa Sasa Tunaongelea Kuwapa DOLA UKAWA na sio CHADEMA.

Kufutiwa/Kufukuzwa Uanachama ni Jambo ambalo si geni kwa Siasa za Tanzania, Tumewaona wanasiasa wengi tu katika hili. Sidhani Zitto yeye anaweza Kutushangaza sana WaTZ Kiasi cha Kutubadili Mwelekeo Tulionao.

Yeye aende aendako hata CCM walikokuwa Wanapeleka Taarifa lakini Mwisho wa Siku UKAWA Ndio habari ya Mjini.

Naona na mnafiki mwenza (HAMAD RASHID) naye amegeuka mpambe wa Zitto. Nimeamini kwa dhati kabisa sasa kuwa an empty stomach is not a good political advisor.
 
Huyu ni Moja Kati ya Wasaliti waliotimuliwa na CUF na Kubakia na Ubunge wa mahakamani. Kwa Siku hizi anaendelea Kuramba Matapishi ya CCM. Huyu ni Miongoni Kwa watu wanaotumiwa na CCM.

An empty stomach is not a good political advisor. Jamaa amekuwa kimbelembele wa ccm. Inasemekana yeye ndie alikuwa dalali wa ccm kuwashawishi wajumbe wa bunge la katiba kutoka Zanzibar waipigie kura ya ndiyo katiba pendekezwa kipindi kile cha bunge la katiba.
 
...huyo akae kimya, kachemka huko cuf watu wsnamuangalia tu, zitto aondoke na wote wasaliti chadema itasonga tu...
 
ZITTO ndio mwisho wake umefika...ageuke na kuangalia nyuma yaliyowakuta waliotangulia kabla yake.Pili ana ugomvi na Muhimili mmoja.Tatu alitaka serekali ivunjwe....hana pa kutokea.
 
Sitashangaa kusikia maneno ka hayo kutoka kwa wanasiasa wetu. Wakija kuomba kura wana maneno lainiii. Wakipata wanatuona kuwa sisi ni majuha kabisa wala bila wao sisi hata msalani hatujui ni wapi.
Mh. Rashid si lolote wala chochote. Anaruhusiwa kusema hayo kuwa ataondoka na wengi. Wangapi? Hata yeye akimguata huko ACT au ccm ni wengi pia. Waungane pamoja wakaendeleze upinzani wao ndani ya upinzani ili waudhoofishe upinzani. Hiyo ndo kazi yao hawa wala si nyingine. Kuunga mkono mawazo ya maccm kila mahali ndo zao.
Hatuogopeshi na makapi/mapepe ya mpunga, upepo lazima uyapeperushe hayo
 
Back
Top Bottom