Hamad Rashid: Zitto ataondoka na wengi!

Hamad Rashid: Zitto ataondoka na wengi!

Hamad Raahid ananyemelea kazi kwenye tume itakayoundwa ya kusimamia utekelezwaji wa katiba mpya...ile miaka miwili ya mpito.
 
CHADEMA sio taasisi ni mali binafsi ya MTEI
Vijisenti?Hela za mboga?vijihela vya ugoro?mimi nizazo nyingi sana kuliko hizo 80m nilizowekewa? Hapa suala si CDM!issue ni kuweka u TZ mbele...
 
Huu ni mwanzo wa zito kupotea kwenye ramani ya siasa za nchii hii akawaulize akina Mrema kwa uzoefu zaidi.
 
What is happening now between Zitto na chadema confirms kwamba siasa Tanzania bado iko katika infancy stage!! Zitto alitakiwa akae chini awaze na kuwazua na kutumia muda zaidi kutafakari kuliko kuanza hadhara zisizo na maana

a total miscalculation
 
Pole chadema sio Mali ya mtei,mtei ni miongonii mwa waasisi wa cdma kama ilivyo Kwa nyerere ,karume ,mtikila,n.k tofautisha
 
Mfa Maji Haachi Kutapatapa, Is too late, Mbona alifukuzwa Siku Nyingi na hakuna Impact yoyote ambayo CHADEMA imefeel. Kashachelewa Labda atawapata watu wa Jimboni mwake; Watanzania Kwa Sasa Tunaongelea Kuwapa DOLA UKAWA na sio CHADEMA.

Kufutiwa/Kufukuzwa Uanachama ni Jambo ambalo si geni kwa Siasa za Tanzania, Tumewaona wanasiasa wengi tu katika hili. Sidhani Zitto yeye anaweza Kutushangaza sana WaTZ Kiasi cha Kutubadili Mwelekeo Tulionao.

Yeye aende aendako hata CCM walikokuwa Wanapeleka Taarifa lakini Mwisho wa Siku UKAWA Ndio habari ya Mjini.

Kumkataa kwenu nyinyi WACHAGA WA CHADEMA SIO KIGEZO KWAMBA VYAMA VINGINE VINAVYOUNDA UMOJA WA UKAWA VINAWEZA KUMKTAA,

WACHAGA WA CHADEMA HAWANA HATI MILIKI NA UKAWA,KAMA WALIVYOKUWA NA HATI MILIKI YA CHADEMA TAMBUA HILO,

KAMA SIO KUWEPO KWA UKAWA CHADEMA HIVI SASA HABARI ZAKE ZINGEISHIA HUKO HUKO UCHAGANI

MFANO HUKU KUSINI HAKUNA NGUVU YEYOTE YA CHADEMA KWA KUWA TUNAJUA FIKA KWAMBA NI CHAMA CHA KIDINI NA KIKABILA.
 
Huu ni mwanzo wa zito kupotea kwenye ramani ya siasa za nchii hii akawaulize akina Mrema kwa uzoefu zaidi.

mkuu,Mrema unaweza mfananisha na ZZK kweli?Ujengaji wa hoja,utetezi wa hoja na kusimamia anachokiamini ndivyo vinamfanya ZZK awe tofauti na wanasiasa wengine wote,Mrema mmojawapo
 
Kila mwanasiasa na wakati wake. Kwa wakati wa Mrema, nathubutu kusema Zito hajamfikia Mrema alivyokuwa. Wakati ule Mrema kwa kuangalia utendaji wake serikalini uliomfanya aonekane yeye ni kila kitu, kumzidi hata Rais aliyekuwa amemteua, Zito si lolote na si chochote. Ukimlinganisha Mrema wa leo na Zito wa leo, ni kweli Mrema si chochote kwa Zito japo wote kwa sasa wanafanana kwa jambo moja, unafiki, kupenda madaraka na uking'ang'anizi.

mkuu,Mrema unaweza mfananisha na ZZK kweli?Ujengaji wa hoja,utetezi wa hoja na kusimamia anachokiamini ndivyo vinamfanya ZZK awe tofauti na wanasiasa wengine wote,Mrema mmojawapo
 
nyie wasomi huwa nawashangaaga sana

hujathibitisha habari umeanza analysis!!

source ni jambo leo..ambao watafanya lolote lile kukuza uadui

hivi mtu akisema IQ yako iko chini unawezaje kumbishia?

Mkuu Waberoya soma kwa makini.Kuna angalizo hapo
 
Last edited by a moderator:
huyo hamad rashid bwabw.a kweli,amalize kwanza mgogoro wake na Cuf ndipo aongelee ya mwenzake zitto ambaye tayari kimesha eleweka si mchadema tena.
 
Jambo leo haliaminiki.

Sidhani kama Zitto anaweza kutoa reckless statement kiasi hicho.

Labda awe amelishwa maneno.Mwanasiasa makini hawezi kujitolea kauli hiyo katika kipindi hiki

ZZK anaweweseka, anaweza kutoa statement yyt kwa sasa wala usishangae. Hakuna dhambi mbaya kama ya usaliti hasa utakapojulikana unapoteza ufaham kabisa.
 
Zitto: watanikoma!

Kwahiyo anaanzisha chama au kujiunga na chama kingine KUKOMESHA watu?

Hi kauli ni sawa na ya Membe aliyosema kwamba akiwa Rais wa nchi hii kuna watu wajiandae kuhama nchi hii.

Ni kauli mabaya na ya hatari sana kutolewa na mwanasiasa!
 
Back
Top Bottom