Uko sawa ipo ila ile 500 siku/mwezi halafu kuna gb15 sijaelewsijui kwa nini wameichimbia kwenye menu za ndani kabisa.
Halotel ni mtandao uko vizuri sana kwenye net. Hata vijijini youtube inatembea fresh. Hawa wengine wa mjini tu. Wanamapungufu kugawa vifurushi yaani hata ukinunua mitandao yote lazima halotel waipe fungu.
Tatizo naona watu hatujazoea kupiga simu kitumia net. Ingekuwa poa sana.
Bye bye Tigo, Voda n.k







Bye bye Tigo, Voda n.kShida ni ambae hana lain ya chuo, ina bidi kwa wiki apambane na hicho cha buku.Nina laini ya chuo toleo la karibuni,sh 500,unapata mb 400,mbni kwa ajili ya YouTube.
Yaani vifurushi vyake duuh. Ila bora hivyo vya halopesa coz 500 anapata 500mb/day. Wakati kawaida 500 mi 200mb/day.Ni kweli,mke wangu hana laini ya chuo, vifurushi vyake ni full upuuzi.![]()
Mimi laini ya mke wangu hicho cha 1gb kwa 1000 hakipo kabisaaaaaaa.Yaani vifurushi vyake duuh. Ila bora hivyo vya halopesa coz 500 anapata 500mb/day. Wakati kawaida 500 mi 200mb/day.
Akitaka cha week ajitutumue cha 1000 ambacho ni 1Gb /week. (Ana mb za ziada compare na za chuo) na vyote vina dk.
Mimi laini ya mke wangu hicho cha 1gb kwa 1000 hakipo kabisaaaaaaa.




Nadhani wana maanisha kwa siku hutazidisha 500mbIle ya gb 15 kwa mwezi,halafu kwenye mabano 500mb kwa siku,maana yake ni kwamba kwa kila siku iendayo kwa Mungu,katika ile 15gb,kuna mb 500.


Bye bye Tigo, Voda n.k