Natumia Whatsapp,jf na fb basi,Bando unachukua ya shingap na unakaa muda gani?
huenda kasi ya mtandao husika ni zaidi ya 5G, ni muhimu kuzingatia hilo gentleman 🐒Hvi inakuaje bando zinaisha ghafla hivi?
Gb kumi natumia jf, fb, insta, na YouTube pekee. Movie sidownload hakuna consumption kubwa na nimewasha data saver alaf GB kumi hazimalizi siku mbili kweli...
Jaman wadau na nyie mnaliona hilo?
Ukitaka kuwatusi HALOTEL unabonyeza ngapi Mkuu ?Hvi inakuaje bando zinaisha ghafla hivi?
Gb kumi natumia jf, fb, insta, na YouTube pekee. Movie sidownload hakuna consumption kubwa na nimewasha data saver alaf GB kumi hazimalizi siku mbili kweli...
Jaman wadau na nyie mnaliona hilo?
Unaperuzi kote,Dah asee wewe wa kishua sana ila naimudu hiyo.. Si inakuwa sio social pekee yaani unaperuzi kote?