Halotel mbona siwaelewi?

Halotel mbona siwaelewi?

Hvi inakuaje bando zinaisha ghafla hivi?

Gb kumi natumia jf, fb, insta, na YouTube pekee. Movie sidownload hakuna consumption kubwa na nimewasha data saver alaf GB kumi hazimalizi siku mbili kweli...

Jaman wadau na nyie mnaliona hilo?
Nilijua ni mimi mwenyewe aisee. Bundle ya voda GB 22 naweza tumia hata siku 25, lakiniHalotel GB 32 haimalizi wiki mbili
 
Nilijua ni mimi mwenyewe aisee. Bundle ya voda GB 22 naweza tumia hata siku 25, lakiniHalotel GB 32 haimalizi wiki mbili
Dah kumbe wachawi hao. Mm nikajua labda kuna glitch ni mimi pekee
 
Back
Top Bottom