Halotel chuo acheni wizi, TCRA take note please

Halotel chuo acheni wizi, TCRA take note please

mtakuwa hamsomi UDSM🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Mwanzo walianza vizur ila saiv naona wanazngua kinoma yan hadi nimewakimbia maana bando haikai kbxa.
 
mbona mimi natumia non-stop na sipati tatizo lolote nafikir mb 500+100 zinaisha mapema kwasababu ya spidi yenyewe maxmum ni mb 3.2 iyo spidi ni kubwa sana kwaiyo mb 500 zinaweza kuisha ndani ya saa tano tu (streaming)
 
Nimejiunga 500+100MB leo jioni baada ya kusoma uzi huu hapa, saivi salio ni 48MB...... sijapakua chochote labda list tu ya 9000 na YouTube streaming kwisha habari.
 
someni kwanza mnatusumbuwa tu hum na mb's zenu mfyuu watoto wa mama mnakera 🙁
 
mmezoea sana ubwete.Shs.500 kwa wiki internet???kwani upo ujerumani
Kama ulikuwa unapata ni ofa tu haipo katika viwango vya TCRA.SH.500 ni MB70 ambazo hazikufikishi popote
Ubwete wa mama yako, mpuuzi, nasema sitaki matusi jibu hoja kwa lugha ya ustaa
 
Usikute kaacha huduma wazi, watu wakiwasha wifi wanajipatia huduma buree.
Nadhani itakuwa hivyo maana mimi Halotel naipenda kuliko maelezo yaani nikiunganisha na smart TV YouTube haijawahi kunata! Nasikia kwa watu eti Halotel mtandao upo slow
 
Kwani mnapima data kwa muda ulioelapse? Angalieni data use kwenye devices zenu na ni app zipi zinazotumia data - sio kusema MB 500 hazikai siki tatu.
5a5b84548705d415dbc278120de7b7fe.jpg
 
Unaweka bando ya internet 500 Tsh for a week. Hujafanya download yoyote imeisha. Imenitokea several times.
Acha wizi, TCRA timiza wajibu wenu, msisubiri kupiga faini, tunataka huduma na si faini
hii hali ilinikuta kwenye modem yao manake nilijiunga na cha chuo sikubrowse nikazima laptop narudi kuwasha naambiwa ati sina mb nilibaki nimeduwaa kwanza
 
nilikuwa nawategemea sana halotel ila kwa sasa wamenichosha..
 
Back
Top Bottom