DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,900
Chalinze mkuuWe uko location ipi mkuu?
Chalinze mkuuWe uko location ipi mkuu?
Huduma ipi unaipata vizuri??Labda hapo kuna congestion. Ila mimi nipo upcountry na huduma naipata vizuri tu.
Pamoja na malalamiko yote hayo unaweza ukawa mwanachuo fekiUnaweka bando ya internet 500 Tsh for a week. Hujafanya download yoyote imeisha. Imenitokea several times.
Acha wizi, TCRA timiza wajibu wenu, msisubiri kupiga faini, tunataka huduma na si faini
Internet. mimi huwa najiuna weekly thoughHuduma ipi unaipata vizuri??
Upo sahihi mkuu, wamekuwa matapeli balaa.Unaweka bando ya internet 500 Tsh for a week. Hujafanya download yoyote imeisha. Imenitokea several times.
Acha wizi, TCRA timiza wajibu wenu, msisubiri kupiga faini, tunataka huduma na si faini
Unaweka bando ya internet 500 Tsh for a week. Hujafanya download yoyote imeisha. Imenitokea several times.
Acha wizi, TCRA timiza wajibu wenu, msisubiri kupiga faini, tunataka huduma na si faini
Wewe wasema!Pamoja na malalamiko yote hayo unaweza ukawa mwanachuo feki
unataka laini ya chuo kwan ww ni mwanachuo?vodacom line za chuo hakuna, kawaida ni balaa vile vile
Hapa wameniambia mb 600/Bt imegitea hapo toka Jana hawajui kuwa nilikua nawachoraaa nliweka data limit
Mbona mwanzoni haikuwa hivi wakati devie na applications ninazotumia ni hizi hizi tu!Unapoacha Data On na Una Update kama 20 unategemea nini..? huku whatsaap kuna video 10 na picha zinazo download automatic.
fikiria kabla yakukosoa