Halotel chuo acheni wizi, TCRA take note please

Halotel chuo acheni wizi, TCRA take note please

Unaweka bando ya internet 500 Tsh for a week. Hujafanya download yoyote imeisha. Imenitokea several times.
Acha wizi, TCRA timiza wajibu wenu, msisubiri kupiga faini, tunataka huduma na si faini
Unapoacha Data On na Una Update kama 20 unategemea nini..? huku whatsaap kuna video 10 na picha zinazo download automatic.
fikiria kabla yakukosoa
 
Hawa watu washakuwa wezi sana bora voda,
 
Sijawahi kujuta kwa kujiunga na halotel, kwa upande wangu wamekuwa ni mtandao bora kabisa! Kadri siku zinavyokwenda nadhani nitazipoteza kabisa line za mitandao mingine
 
kweli kabisa mkuu huyo atakua ametumwa

Hawa Jamaa wa Halotel hawako sawa kabisa.Nilijiunga nao baada ya kusikia sifa zao lakini nilipoweka kifurushi sikurudia tena maana ni zaidi ya wizi.Hata Laini yao sijui ilipo kwa sasa.
 
mkuu kuhusu spidi hapana, maana siku hizi spidi yao ndio ipo chini balaa, hata streaming huwezi.
Halotel kwenye internet ni kimeo sasa hata mm nimeachana nao muda mrefu sana, kwa kifupi hawana kazi
 
Wezi sana nwdays. bora hiyo sasa we nunua vocha ya buku halafu jiunge hiyo 500 halafu baada ya dak kumi angalia salio kama hujakuta 470 au 435
 
Hawa Jamaa wa Halotel hawako sawa kabisa.Nilijiunga nao baada ya kusikia sifa zao lakini nilipoweka kifurushi sikurudia tena maana ni zaidi ya wizi.Hata Laini yao sijui ilipo kwa sasa.
Itafute, ukiiona utaniuzia. Nanunua kwa Tsh 5000/=
 
Halotel ya kawaida pia ni janga usiingie instagram bundle la mb200 kwisha kazi
 
kweli kabisa mkuu leo nime-experience hiki kitu imenikera sana f**k u haloteli
 
Unaweka bando ya internet 500 Tsh for a week. Hujafanya download yoyote imeisha. Imenitokea several times.
Acha wizi, TCRA timiza wajibu wenu, msisubiri kupiga faini, tunataka huduma na si faini
mmezoea sana ubwete.Shs.500 kwa wiki internet???kwani upo ujerumani
Kama ulikuwa unapata ni ofa tu haipo katika viwango vya TCRA.SH.500 ni MB70 ambazo hazikufikishi popote
 
Back
Top Bottom