- Thread starter
- #41
see the contribution on this thread from othersmkuu wanakuibia ww tu.mbna me natumia na siibiwi
see the contribution on this thread from othersmkuu wanakuibia ww tu.mbna me natumia na siibiwi
Ilikua vizuri tuu, tatizo limeanza siku si nyingiKipindi cha nyuma kwa upande wako hali ilikuwaje katika speed..?
Mbona wengine sio wanachuo na huduma tunaipata vizuri. Shida ipo kwenye simu zenu au location mliyopo.Mwanachuo! Siwezi kulalamika while not a student
Simu sidhani kwani naitumia kweye desktop computer, mjini , city centre!(in one of our cities)Mbona wengine sio wanachuo na huduma tunaipata vizuri. Shida ipo kwenye simu zenu au location mliyopo.
Mkuu niliweka 10GB cha ajabu wiki ikakata sijadownload movie wala niniUnaweka bando ya internet 500 Tsh for a week. Hujafanya download yoyote imeisha. Imenitokea several times.
Acha wizi, TCRA timiza wajibu wenu, msisubiri kupiga faini, tunataka huduma na si faini
Labda hapo kuna congestion. Ila mimi nipo upcountry na huduma naipata vizuri tu.Simu sidhani kwani naitumia kweye desktop computer, mjini , city centre!(in one of our cities)
Okay!Ilikua vizuri tuu, tatizo limeanza siku si nyingi
Ikifika usiku mb 500 zako haziendi zinatumika zile 100 za usiku lkn uanzia saa 5 ikifika asubuh ndo unaendelea kutumia mb 500 zako ulizonunua ila zikiisha hizo mb 100 ikifika usiku zinatumika hizo 500Kuna jambo sijawaelewa hawa
unajiunga 500
unaambiwa 500mb+ 100mb usiku
sasa unazionaje hizo Mb 100 za usiku!?
Nikwakuwa nina Kijisimu chao kimoja kinacho nilazimu kuweka line yao
Kizazi cha T ni bora sana
Aaaaahhhh hapana siamini nina line yao hawa jamaa ya chuo kiukweli kati ya makampuni ya simu makini Tanzania hili namba moja. Tuache unafiki hakuna kitu km hicho. Fikiria ulichokifanya vinginevyo usitumike vby wape haki yao halotelUnaweka bando ya internet 500 Tsh for a week. Hujafanya download yoyote imeisha. Imenitokea several times.
Acha wizi, TCRA timiza wajibu wenu, msisubiri kupiga faini, tunataka huduma na si faini
Zipo ila mpaka uwe mwanachuo na kitambulisho mara nyingi usajiri wao unafanyika onlinevodacom line za chuo hakuna, kawaida ni balaa vile vile
Weee....hao jamaa ni wezi asee.. Hizo tuhuma ni za kweli.. Personally nme experience the same thing..Umetumwa wewe, halotel hawana hiyo tabi
Wizi tu hawana lingineIkifika usiku mb 500 zako haziendi zinatumika zile 100 za usiku lkn uanzia saa 5 ikifika asubuh ndo unaendelea kutumia mb 500 zako ulizonunua ila zikiisha hizo mb 100 ikifika usiku zinatumika hizo 500
Voda Ndio kibokowakuu ivi kuna mtandao wanaiba Zaidi ya tigo, ,..awa jamaa ni wezi waliotukuka,,..mb500 ni masaa manne tu kwishnei.