Halotel chuo acheni wizi, TCRA take note please

Halotel chuo acheni wizi, TCRA take note please

mi nshaacha na nalo hilo bando ....ni shida tupu. ....nimehamia la mwezi la 9999 gb 10 likizingua nalo nahama mtandao!
 
Tena ipo chini kuliko mitandao yooote
 
Unaweka bando ya internet 500 Tsh for a week. Hujafanya download yoyote imeisha. Imenitokea several times.
Acha wizi, TCRA timiza wajibu wenu, msisubiri kupiga faini, tunataka huduma na si faini
Mie natumia na siibiwi
Angalia mnatumia wangapi?
 
Mimi sijajau labda ni speed ya Hallotel au nini.

500 Mb zinayeyuka haraka sana Tofauti kabisa na kipindi cha nyuma.
Mm hawajachukua mb zao lkn mtandao uko slow sana inachukua muda ukitaka kudownload
 
Wamefungulia speed tofauti na kipindi cha nyuma, yaani haizid siku tatu 500mb kwisha
 
Sasa kama we c mwanachuo unalialia nini... Hiyo kwa ajili ya mwanachuo... Ulipoweka ika detect kwamba c mwanachuo ndo maana wakafanya hivyo
Mwanachuo! Siwezi kulalamika while not a student
 
mkuu kuhusu spidi hapana, maana siku hizi spidi yao ndio ipo chini balaa, hata streaming huwezi.
Aisee!
Itabidi wafanyie kazi malalamiko wa wateja ipasavyo.


Wasikatishe tamaa watu Mapema kwani Kuna baadhi walikuwa washawaamini kama mkombozi.
 
Back
Top Bottom