Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,270
- 72,466
MAMBO MENGI
[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23]
Hakuna mtandao uliostable hapa nchini lazima uwe na backup ya mtandao mwingine.Sijawahi ona faida ya halotel na kila mtumiaji wa halotel ni lazima awe na sim card ya matumzi ya muhimu ... Hivyo basi halotel bado sana kwenye ushindani kwa hapa bongo...
Coverage yake ni ndogo ndio shida.Huo ushindani una uzungumzia kwenye vifurushi ama??
View attachment 669811
Hii ni ttcl boom pack leta scrnshot ya vifurush vya hao halotel tuone pia
Hakuna mtandao wamaana Tz mkuu yote imekuwa majang tukama mnavyokumbuka baada ya halotel kupunguza vifurushi nikategemea hawa voda wanaweza wakawa mkombozi lakini mambo ndivyo sivyo ukishangaa ya halotel utayaona ya voda baada ya jana kuweka bando la chuo voda ni kichefuchefu siku nzima imeshindwa kufungua internet leo nimeamua kuendelea na mb zangu 350 hata zikiendelea kushuka bado nitaendelea kutumia halotel
Na hii ndio sababu kubwa yakupunguza mb ili wapate faida zaidi jamaa wametathimini soko wameona washindani wao bado wanasuasuahalotel ina sifa moja tu kubwa ambayo wengine wote hawana..ni speed ya internet popote pale ulipo,ila mitandao mingine package za net zipo vizuri ila speed kichefuchefu, hao voda ukiwa boko tu hapo speed kobe. nilitaraji ttcl ambayo ndo mama wa mitandao ingeboreshwa na kuwa na speed zaidi ya halotel maeneo yote ili washindane, lakini wamefail,inchi kitu kikitwa tu cha taifa basi ubora kiduchu. ingia hata ofc za ttcl unakuta tu wamama wamezubaa.hawapo kiushindani.