Atacms
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 5,489
- 10,151
Ha ha ha apa nna shusha episode za mb 350 hata 2 kwa wakat mmoja na hazipit ten minutes zote zisha ingiaTtcl inaspeed kweli? Kama ilivo halotel?
Ha ha ha apa nna shusha episode za mb 350 hata 2 kwa wakat mmoja na hazipit ten minutes zote zisha ingiaTtcl inaspeed kweli? Kama ilivo halotel?
Duuu kwa hii hii ttcl?ngoja nfanye mpango kwa kweli hii halotel imeshanishindaHa ha ha apa nna shusha episode za mb 350 hata 2 kwa wakat mmoja na hazipit ten minutes zote zisha ingia
sisi tunaangalia ubora atuangalii wingi wa mb mbona kawaida tu ukipunguza bia moja kwenye bia tatu kwa siku mbona halotel unaimudu basi tu watanzania tunapenda vya dezoHalotel kwaherini Ngoja
nitafute mbadala hakuna namna
Halotel waiziii wa MB Waleee...!! Bora voda mtandao ambao unakubalii popotee.TTCL kama huna 4G usijaribu hataa itakukeraa tuusisi tunaangalia ubora atuangalii wingi wa mb mbona kawaida tu ukipunguza bia moja kwenye bia tatu kwa siku mbona halotel unaimudu basi tu watanzania tunapenda vya dezo
Hapana mkuu mb zinatumika vizuri tu sijui kama unatumia voda mimi jana nimejaribu kuirudia voda nimekereka haifungui page mkuu yani internet haipo kabisa ni bora ingekuwa slowHalotel waiziii wa MB Waleee...!! Bora voda mtandao ambao unakubalii popotee.TTCL kama huna 4G usijaribu hataa itakukeraa tuu
WashambaMB 1200 mpaka 800 halotel sio poa
*149*01# chagua ofa yako tu n.b sio line zote zina hii ofaNaomba kujua menu ya icho kifurushi
Inategemea na eneo mkuu eneo langu voda iko mwakeIshu ni intanet ipo slow
Nishawahi unga hilo bando alafu nikashindwa kuzitumia maana intaneti ya Voda ni janga
Unapewa Mb 5000 halafu intaneti hamna spidi sasa utazitumiaje ?
Au utalishia mbuzi mkuu ?
Yan kwenye uslow voda wametia foraIshu ni intanet ipo slow
Nishawahi unga hilo bando alafu nikashindwa kuzitumia maana intaneti ya Voda ni janga
Unapewa Mb 5000 halafu intaneti hamna spidi sasa utazitumiaje ?
Au utalishia mbuzi mkuu ?
halotel ina sifa moja tu kubwa ambayo wengine wote hawana..ni speed ya internet popote pale ulipo,ila mitandao mingine package za net zipo vizuri ila speed kichefuchefu, hao voda ukiwa boko tu hapo speed kobe. nilitaraji ttcl ambayo ndo mama wa mitandao ingeboreshwa na kuwa na speed zaidi ya halotel maeneo yote ili washindane, lakini wamefail,inchi kitu kikitwa tu cha taifa basi ubora kiduchu. ingia hata ofc za ttcl unakuta tu wamama wamezubaa.hawapo kiushindani.Ttcl inaspeed kweli? Kama ilivo halotel?
haitakiwi itegemee eneo maana watu tunamove, inapaswa iwe perfect sehemu kubwa, mfano hapa tu mjini baadhi ya maeneo unakuta wapo slow ,mpaka unaboreka hasa kama unafanya kazi za ofc nyumbani, kufungua system inabidi utulie uangalie tv kwanzaInategemea na eneo mkuu eneo langu voda iko mwake
KWELI MKUUJoseverest huyu jamaa yako katumwa na halotel aje kuwatangazia biashara,alipie tangazo kwa kweli
Mkuu nafasi yako unalala sana siku hz kuiwahi,unanipa kazi kupambana na vijana kuwahi kukushikia [emoji1]KWELI MKUU
HIVI SIJAKWAMBIA NIMESTAAFUMkuu nafasi yako unalala sana siku hz kuiwahi,unanipa kazi kupambana na vijana kuwahi kukushikia [emoji1]
[emoji23] [emoji23]HIVI SIJAKWAMBIA NIMESTAAFU