Gulio Blog
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,056
- 4,124
kama mnavyokumbuka baada ya halotel kupunguza vifurushi nikategemea hawa voda wanaweza wakawa mkombozi lakini mambo ndivyo sivyo ukishangaa ya halotel utayaona ya voda baada ya jana kuweka bando la chuo voda ni kichefuchefu siku nzima imeshindwa kufungua internet leo nimeamua kuendelea na mb zangu 350 hata zikiendelea kushuka bado nitaendelea kutumia halotel