Halima Mdee ndani ya Kombati akisoma hotuba yake

Regia Mtema

R I P
Joined
Nov 21, 2009
Posts
2,970
Reaction score
871
Wakuu salaam.Nimefurahishwa sana na vazi la Mdee alilovaa leo wakati hue akiwasilisha Hotuba yake ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Katika hotuba yake amewalipua Mkapa, Mangula, Sumaye, Nwgwilizi, Mzee Mwinyi na Mzee Malecera kwa umiliki wa ekari nyingi za ardhi katika eneo la Mtibwa mkoani Morogoro.

Viva Halima.

Kuna madiwani walikuwa wanakataa kutoa ardhi kwa wawekezaji ila kwa ufisadi wa serikali ukawapeleka marekani kwa mda na waliporudi wakapitisha ardhi za wazalendo kupewa wageni.

My take:
Amezungumzia mengi mfano hk 1 kulipiwa kodi kwa tsh 200 kwa mwaka ila kwa hili watanzania tumeshauzwa.
Nawasilisha

Wakuu salaam.Nimefurahishwa sana na vazi la Mdee alilovaa leo wakati hue akiwasilisha Hotuba yake ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Katika hotuba yake amewalipua Mkapa, Mangula, Sumaye, Nwgwilizi, Mzee Mwinyi na Mzee Malecera kwa umiliki wa ekari nyingi za ardhi katika eneo la Mtibwa mkoani Morogoro.

Viva Halima.

Amemshukuru Esther Bulaya?

Dada Regina naomba utuekee hiyo hutuba humu ila nampongeza sana Halima Mdee amewasilisha vizuri.

Zamani nilikua namheshimu sana nyani, hasa kwa slogani yake ya miafrica.Nikajua ni mtu makini.

Nikajua sio miongoni mwa wale waliosoma chuo.

Wakuu salaam.Nimefurahishwa sana na vazi la Mdee alilovaa leo wakati hue akiwasilisha Hotuba yake ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Katika hotuba yake amewalipua Mkapa, Mangula, Sumaye, Nwgwilizi, Mzee Mwinyi na Mzee Malecera kwa umiliki wa ekari nyingi za ardhi katika eneo la Mtibwa mkoani Morogoro.

Viva Halima.

Hivi hawa viongozi wetu kwa nini wana tamaa na ardhi hivyo. Wangekuwa wanzalisha kitu that's fine lakini hili swala la kumiliki kwa ajili ya vizazi vyao vijao na kuuza kwa wageni ni kutudhurumu haki yetu tuliopo sasa.

Safi sana kamanda Mdee, hilo ndio vazi la kipganaji... Hakuna kulala mpaka kieleweke. Unafaa kuwa waziri

hakuna kipya

mbona mnapenda kujisifia sana???

THREAD HAINA MSHIKO

Kuna mashamba yanagawiwa nenda ukajipatie fisadi mkubwa wewe.

Nimeshtushwa mno kwamba Mzee Idd Simba (tena) anahusika na umilikishwaji wa ardhi zaidi ya ekari laki moja kwa miaka 99, huku eraki moja ikilipiwa kati ya shs 200-500 (TUUUU) kwa mwaka! UZAWA?

Siasa ni kujifanya msafi kwa wananchi huku unachukua chako mapema. Wanasiasa wanafikiria tofauti kabisa na mwananchi wa kawaida ingawaje maneno yao yanafanana na mwazo ya wananchi.

• Thanks
Reactions: FJM
Back
Top Bottom