mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,760
- 35,207
Ngoja tuone
Covid 19 hawana mshipa wa aibu
Chadema imewakataa kea asilimia 97
Wamejifunza kwa wakubwa zao
KAZI IENDELEE
Ngoja tuone
Covid 19 hawana mshipa wa aibu
Chadema imewakataa kea asilimia 97
Wanatafuta uchokozi.
Dodoma. Baadhi ya wabunge kati ya 19 waliofukuzwa uanachama na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wakiingia bungeni tayari kuendelea na shughuli za Bunge jijini Dodoma, leo Ijumaa Mei 13, 2022.
Jumatano ya Mei 11, 2022 Baraza Kuu la Chadema lilitupilia mbali rufaa za wabunge hao 19 kupinga uamuzi wa Kamati Kuu ya chama hicho kuwafukuza uanachama kwa tuhuma za usaliti kwa kukubali kwenda kuapishwa kuwa wabunge kinyume na msimamo wa chama hicho kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa 2020.
Muwapokeeni huko mbogamboga hao wasaliti, maana tabia zenu zimefanana!Ngoja tuone
Covid 19 hawana mshipa wa aibu
Chadema imewakataa kea asilimia 97
Kweli katiba mpya pekee haitoshi!!
Sheria zipo hazifuatwi...tuanze kufundishana kuwalazimisha watawala kufuata sheria.
Sasa Bi Mkora anajipendekeza kuongea na Mbowe ili iweje wakati anaendekeza upumbavu kama huu?!
Mkubwa wao alikwisha lala chato, the creator himself!Wamejifunza kwa wakubwa zao
KAZI IENDELEE
CDM waliweka wazi juzi tu kuwa huwa hawapokei ruzuku na serikali iliamin hawataweza kusurvive bila ruzuku.Ila jamani naomba mwenye taarifa anijuze, hivi tangu hawa watu 19 waingie bungeni CDM haipokei ruzuku kupitia wao?,naamini chama chochote kinapata ruzuku kutokana na namba ya wabunge wake waliopo bungeni.
Barua imeshifika na imepokelewa, tunasubili reply. Ila hata hao wasaliti wanasubiri hiyo hiyo reply ambayo hatujui inaweza kuwa ya mchongo au haki. Waache walambe posho zao kwa mara ya mwisho..!Bado ni wabunge maana Chadema bado haijapeleka barua rasmi kwa Spika juu ya kufukuzwa kwao chamani
Wanaringia Mbususu zao zenye sugu za madushe.Wana viburi sana hawa ma bibi
Ni mwaka sasa huyo mwenda zake hayupo!hii nchi mwendazake alitaka kuiharibu vibaya sana, sema mkono wa Bwana umetuokoa !! mambo kama haya ni aibu kubwa kimataifa, looks like we're not organized & uncivilized.
yes, waambie na hao wanao bwabwaja Bungeni kila uchao wakome!! waiache awamu ya sita ifanye kazi.Ni mwaka sasa huyo mwenda zake hayupo!
Ni wakati sasa hao waliopo warekebishe hayo mnayosema alitaka kuharibu.
Itafika wakati hata waume zenu wakishindwa kupandisha jogoo zao mtungi mtamsingizia mwendazake
Dodoma. Baadhi ya wabunge kati ya 19 waliofukuzwa uanachama na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wakiingia bungeni tayari kuendelea na shughuli za Bunge jijini Dodoma, leo Ijumaa Mei 13, 2022.
Jumatano ya Mei 11, 2022 Baraza Kuu la Chadema lilitupilia mbali rufaa za wabunge hao 19 kupinga uamuzi wa Kamati Kuu ya chama hicho kuwafukuza uanachama kwa tuhuma za usaliti kwa kukubali kwenda kuapishwa kuwa wabunge kinyume na msimamo wa chama hicho kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa 2020.
Wakiambiwa warudishe walizochukua toka 'day-one' wataweza?Posho za leo wanatafuna bure tuu
Hayo ni mapambio chadema ni mpango wa Mungu, Kama hawatajibu mamlaka Mungu atajibu,
Dodoma. Baadhi ya wabunge kati ya 19 waliofukuzwa uanachama na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wakiingia bungeni tayari kuendelea na shughuli za Bunge jijini Dodoma, leo Ijumaa Mei 13, 2022.
Jumatano ya Mei 11, 2022 Baraza Kuu la Chadema lilitupilia mbali rufaa za wabunge hao 19 kupinga uamuzi wa Kamati Kuu ya chama hicho kuwafukuza uanachama kwa tuhuma za usaliti kwa kukubali kwenda kuapishwa kuwa wabunge kinyume na msimamo wa chama hicho kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa 2020.
mkuu kama kalio lako limeubwa kupata tabu litapata tabu bila iwepo wa jpm.hii nchi mwendazake alitaka kuiharibu vibaya sana, sema mkono wa Bwana umetuokoa !! mambo kama haya ni aibu kubwa kimataifa, looks like we're not organized & uncivilized.
mkuu hakuna mtu timamu anayefatilia kwa umakini yanayoendelea.Hayo ni mapambio chadema ni mpango wa Mungu, Kama hawatajibu mamlaka Mungu atajibu,
Kwanza wanaonesha upunguani kwamba hata katiba ya nchi hawajui ,na wapo pale hata kanuni za Bunge hawajui ,unaendaje bungeni wakati huna chama ,watapigwa na fedhea sio ya nchi hii, watu wamengangana mfunga Mbowe imeshidikana sasa wanadhani wanaweza shindana na chama chao
Kuna invisible hand hapo,kama walivyotinga bungeni mwanzoni.Kuna mtu au taasisisi inawapa kiburi
kaka umepanic.. tulia basi kwanza - haya mambo ni taratibu.mkuu kama kalio lako limeubwa kupata tabu litapata tabu bila iwepo wa jpm.
umeokolewa na mkono wa sweta wa bwana wako.
Serekali inalia kuweka billion 100 kupata nafuu ya Bei ya mafuta huku billion 19 zikilipwa Kwa wabunge hewa!!Fedha zetu za Kodi tunazokamuliwa hizo.
Waacheni wapige pesa tatizo sio wao tatizo ni bunge😀😀