Kumbe hilio ndio tusi,akili zenu haziko sawa kunaugonjwa mmeuguakamtukana Rais kimantiki..hana adabu lazima aendelee kushughulikiwa. namnukuu
"eti ipo siku atatuambia tutembee hatujavaa nguo za juu na ni lazima tutii"
kimantiki ni tusi kubwa kwa Rais wa Jamhuri..
wacha anyooshwe tu hamna namna..
Hekima iko zero.Asante sana Mkuu kwa kuanzisha uzi huu..
Lazima ifike mahali maonevu kwa wanasiasa wa upinzani yakome kwa kweli.
Na sasa ni vema Wanasheria wapeleke shauri mahakamani ili tafsiri za hii sheria mbovu inayotumika na hawa ma DC na ma RC ifafanuliwe vema..
Imekuwa too much sasa.
Upepo wa Pesa sijapanic mkuu!!Naona umepanic sana!!
Umechukua hela ya serikali ukaila, basi tundu lakuzitoa hizo hela linajulikanaMkuu hebu nipe hiyo reaction na action ya lugha hii " iwapo umechukua hela ya serekali mkononi, utaitolea kwenye tundu lolote lililo wazi mwilini"
Sijui kama uzi utaunganishwa.
Ebu Watanzania tuwe watu wa analysis. Watu wengi wamekuwa wakiunga mkono kukamatwa kwa Halima Mdee na kusema kuwa Mdee alimtukana Mtukufu Rais wa Tanzania. Pia wengine wanasema kamkashifu Rais.
Baada ya mjadala mrefu, ebu tuelezane sasa, Rais katukanwa kwa tusi lipi?
Aaah kumbe uelewa wako ni mdogo eeeh!! Nilikuwa nataka kuonyesha kuwa jamii ya Kiafrika iko tofauti na ya kizungu kwa maadili na mila. Kiafrika kumtukana au kumtolea mkuu wa nchi au mtemi lugha isiyofaa wakati kwa si sawa wazungu ni sawa tu ndio maana wazungu wanakubali mashoga wakati tz hatukubali.Sasa ulipoongelea ushoga umetoka wapi kwenye huu uzi??
Kama sio kupanic ni nin basi??
kinachomuweka rumande ni abuse of power. PERIODKama hujui mantiki maana yake, je umeshindwa hata kuona nguvu ya mantiki inayomsotesha Mdee rumande rafiki?!
wakimemo = wakiwemoLicha ya kumtusi Rais, katutusi Watanzania wote. Mama'ko na baba'ko wakimemo (kama unao).
Wakimemo = wakiwemo.Licha ya kumtusi Rais, katutusi Watanzania wote. Mama'ko na baba'ko wakimemo (kama unao).
Hivi ilifikia wapi? Si Mh Mbowe aliipeleka hii issue mahakamani akafungua kesi, ili mahakama itafsiri hicho kifungu cha sheria... imepotelea wapi hiyo kesi?Asante sana Mkuu kwa kuanzisha uzi huu..
Lazima ifike mahali maonevu kwa wanasiasa wa upinzani yakome kwa kweli.
Na sasa ni vema Wanasheria wapeleke shauri mahakamani ili tafsiri za hii sheria mbovu inayotumika na hawa ma DC na ma RC ifafanuliwe vema..
Imekuwa too much sasa.
No, clip nimesikia, sijasikia tusi. Nataka kujua labda kwa mujibu wa Mungu mtu wetu Magufuli yeye tusi ni tofauti nijuavyoKwanini usijiongeze utafute clip yake ukaisikiliza. Unataka utafuniwe na kuongopewa eti. Au basi uliza vyombo vilivyomkata
Mungu mwenyewe huyu wetu yeye mbona hana staha kwenye majukwaa?kutwa kutisha wananchi tu hadi kinyaa yaani hadi unamuonea huruma anajiona anajua kila kitu mbona kwenye vyeti vya bashite kateleza?yaani ameonyesha hekima kwake ni zeroNdio maana bado ameshikiliwa na polisi wanajaribu kuchunguza amemtukana tusi lipi natumaini wakimaliza uchunguzi watatujulisha🙄