Unaweza kuithibitishia mahakama kuwa ipo siku hatafanya hivyo kama bi Mdee alivyotamka?kamtukana Rais kimantiki..hana adabu lazima aendelee kushughulikiwa. namnukuu
"eti ipo siku atatuambia tutembee hatujavaa nguo za juu na ni lazima tutii"
kimantiki ni tusi kubwa kwa Rais wa Jamhuri..
wacha anyooshwe tu hamna namna..
Inaonesha una uwezo mdogo mno wa kufikiri,kama hutaki akosolewe unategemea nini kitatokea kama si uasi. Katiba ya nchi inasema kumkosoa raisi si kosa kisheria. Huna akili huenda,mbona lisu alisema tuna rais wa ajabu hajapata kutokea wakashindwa kuthibitisha mashtaka? Tuone kama Halima atakutwa na hatia.kamtukana Rais kimantiki..hana adabu lazima aendelee kushughulikiwa. namnukuu
"eti ipo siku atatuambia tutembee hatujavaa nguo za juu na ni lazima tutii"
kimantiki ni tusi kubwa kwa Rais wa Jamhuri..
wacha anyooshwe tu hamna namna..