Halima Mdee kamtukana Rais kwa tusi gani?

Halima Mdee kamtukana Rais kwa tusi gani?

Nkobe

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
2,230
Reaction score
3,333
Sijui kama uzi utaunganishwa.

Ebu Watanzania tuwe watu wa analysis. Watu wengi wamekuwa wakiunga mkono kukamatwa kwa Halima Mdee na kusema kuwa Mdee alimtukana Mtukufu Rais wa Tanzania. Pia wengine wanasema kamkashifu Rais.

Baada ya mjadala mrefu, ebu tuelezane sasa, Rais katukanwa kwa tusi lipi?
 
Sijui kama uzi utaunganishwa.

Ebu Watanzania tuwe watu wa analysis. Watu wengi wamekuwa wakiunga mkono kukamatwa kwa Halima Mdee na kusema kuwa Mdee alimtukana Mtukufu Rais wa Tanzania. Pia wengine wanasema kamkashifu Rais.

Ebu tuelezane, Rais katukanwa kwa tusi lipi?
Point to note: siyo wengi ni CCM (Lumumba) wenye maslahi na wasiojielewa
 
Mkuu kuna ka system tunako waafrica. Mfano vyuoni mwalimu akifelisha anaonekana ni mtabe kweli kweli!!! Lakini ukienda kwa wenzetu mwalimu akishika mwanafunzi basi huyo mwalim atahuzunika sana!!

Haya tuje kwa rais wetu... Kwake yeye kuwa na roho mbaya na kutoa vitisho kwa watu ndio anaona anaongoza...

Sasa ukienda kwa wenzetu mambo ni tofauti....
04d184700b6551a0d16f1b89037ffacf.jpg

Huyo ni Obama rais mstaafu wa marekani!!

Ivi kuna rais anatukanwa kama rais wa marekani?? Achilia mbali obama, trump mwenyewe kila saa anatukanwa!! Je angekua kama sizonje marekani ingekalika??

Kwa kifupi hatuwezi kuwa na mtazamo mmoja japo wote tuna common goal! Kukosolewa ni lazima japo rais wetu hataki!! Rais unatakiwa ujiamini na sio kujishtukia ukiona lissu anaongea!!

Huku kwetu wanaamini maneno makali na vitisho ndio uongozi...kwa kifupi hawajui maana ya uongozi!!

Tanzania ya viwanda haitakuja kwa kamatakamata ya wapinzani, rais unapoteza muda tu!!

Bila uongozi bora tutakua tanzania ya vi wonder na sio tanzania ya viwanda!!
 
Mkuu kuna ka system tunako waafrica. Mfano vyuoni mwalimu akifelisha anaonekana ni mtabe kweli kweli!!! Lakini ukienda kwa wenzetu mwalimu akishika mwanafunzi basi huyo mwalim atahuzunika sana!!

Haya tuje kwa rais wetu... Kwake yeye kuwa na roho mbaya na kutoa vitisho kwa watu ndio anaona anaongoza...

Sasa ukienda kwa wenzetu mambo ni tofauti....
04d184700b6551a0d16f1b89037ffacf.jpg

Huyo ni Obama rais mstaafu wa marekani!!

Huku kwetu wanaamini maneno makali na vitisho ndio uongozi...kwa kifupi hawajui maana ya uongozi!!
Mkuu najua, huku baadhi ya nchi zinazoendelea Rais ni Mungu wawatu wenye mawazo finyu
 
Asante sana Mkuu kwa kuanzisha uzi huu..

Lazima ifike mahali maonevu kwa wanasiasa wa upinzani yakome kwa kweli.

Na sasa ni vema Wanasheria wapeleke shauri mahakamani ili tafsiri za hii sheria mbovu inayotumika na hawa ma DC na ma RC ifafanuliwe vema..

Imekuwa too much sasa.
 
kamtukana Rais kimantiki..hana adabu lazima aendelee kushughulikiwa. namnukuu

"eti ipo siku atatuambia tutembee hatujavaa nguo za juu na ni lazima tutii"
kimantiki ni tusi kubwa kwa Rais wa Jamhuri..

wacha anyooshwe tu hamna namna..
We jamaa sijui una akili gani?? Sasa hapo kuna tusi gani??
 
Kamwambie baba yako yale alioyasema kws JPM na NGUGAE utajua kama katukana au hajatukana.
 
Back
Top Bottom