Halima Mdee kamtukana Rais kwa tusi gani?

kamtukana Rais kimantiki..hana adabu lazima aendelee kushughulikiwa. namnukuu

"eti ipo siku atatuambia tutembee hatujavaa nguo za juu na ni lazima tutii"
kimantiki ni tusi kubwa kwa Rais wa Jamhuri..

wacha anyooshwe tu hamna namna..
Wewe je unamwabudu rais?kama hilo ni tusi wanaume wanao jioa na kujifanya mapenzi ni kias gani wamemtukana Mungu? Usiwe mnafiki acha kuabudu wanadamu tumia akili sometime
 
Uzi una page ya 3, nilitegemea kuona hayo matusi ambayo Halima aliyotukana. Sijayaona bado!!!

Wacha nikaangalie Katuni kwanza kwa TV na watoto wangu
 
kuna sehemu nilikuwa napiga story na mwanaccm mmoja akawa anasema wapinzani wamekuwa na matusi sana dhidi ya viongoz wetu (watawala), wapinzani wamekuwa na kashifa na maneno machafu sana kwa mkuu wa nchi. Nikamuuliza kwa hekima na busara, ni matusi yapi hayo ambayo wapinzani humtukana mkuu wa nchi? ni maneno yapi machafu ambayo upinzani wanayasema kwa mkuu wa nchi? jamaa akakimbilia kunijibu kwa jaziba nanukuu "wapizani hawana akili, tangu wampokee lowasa wamekuwa ni watu wa hovyo, hawajui kujenga hoja, sasa hivi hawana hata sera kazi kumtukana mkuu wa nchi na wamekuwa ni watetezi wa majizi yanayotuibia mfano lissu. halima mdee mtoto wa jana tu afu anajifanya kujibizana na raisi, tena napenda wasimtoe ili ajifunze adabu kama lema"🙁🙁. nikamwambia bado hujanijibu swali but jamaa akazid kuwa mkali. NIKAJIFUNZA KITU; ccm wengi hawana uelewa kabisa katika masuala ya siasa za vyama vingi. wanazani wao wanapompongeza mkuu basi kila mtu ampongeze. hata humu jf sijaona mtu akifafanua maana ya matusi na kutoa mifano ya matusi ambayo dada yetu amemtukana mkuu. nawasilisha
 
bora ukaendelee kutazama katuni. hakuna yeyote atakuja na hayo matusi hapa
 
Maneno aliyosema Halima, anaweza kumwambia baba yake? Au mumewe?
Mkuu usitukumbushe machingu sie tuliooa !mambo tunayoambiwa na wake zetu wakivurugwa we acha tu iendelee kuwa siri !Kama hujaoa endelea kuwaza kuwa mkeo atakuita baby kila siku subiri siku uambiwe "kati y a wanaume nawe mwanamme !"huku akijiburuza na mmimba wake!
Wake zetu ni maadui tuwapendao na timeaswa tuishi nao kwa tahadhari hata ikibidi kusema samahani bila kufanya kosa au tikikosea tuombe sisi samahan

Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
 
Sijui kama uzi utaunganishwa.

Ebu Watanzania tuwe watu wa analysis. Watu wengi wamekuwa wakiunga mkono kukamatwa kwa Halima Mdee na kusema kuwa Mdee alimtukana Mtukufu Rais wa Tanzania. Pia wengine wanasema kamkashifu Rais.

Baada ya mjadala mrefu, ebu tuelezane sasa, Rais katukanwa kwa tusi lipi?
Kwanini usijiongeze utafute clip yake ukaisikiliza. Unataka utafuniwe na kuongopewa eti. Au basi uliza vyombo vilivyomkata
 
Kamwambieni arudie tena kutukana msikie hayo matusi...

He hee

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Kwanini usijiongeze utafute clip yake ukaisikiliza. Unataka utafuniwe na kuongopewa eti. Au basi uliza vyombo vilivyomkata
Kwani umeambiwa hajaona hiyo clip?ambacho hajakisia ni hayo "matusi"sasa mliobaini matusi ndio mumsaidie nae apate kujua!

Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
 
Maneno aliyosema Halima, anaweza kumwambia baba yake? Au mumewe?
Hivi Halima Mdee kusema kuwa matamshi anayotamka Rais anayachukulia kama sheria....

Je hilo ni tusi?
 
Mkuu kuna ka system tunako waafrica. Mfano vyuoni mwalimu akifelisha anaonekana ni mtabe kweli kweli!!! Lakini ukienda kwa wenzetu mwalimu akishika mwanafunzi basi huyo mwalim atahuzunika sana!!

Haya tuje kwa rais wetu... Kwake yeye kuwa na roho mbaya na kutoa vitisho kwa watu ndio anaona anaongoza...

Sasa ukienda kwa wenzetu mambo ni tofauti....
04d184700b6551a0d16f1b89037ffacf.jpg

Huyo ni Obama rais mstaafu wa marekani!!

Ivi kuna rais anatukanwa kama rais wa marekani?? Achilia mbali obama, trump mwenyewe kila saa anatukanwa!! Je angekua kama sizonje marekani ingekalika??

Kwa kifupi hatuwezi kuwa na mtazamo mmoja japo wote tuna common goal! Kukosolewa ni lazima japo rais wetu hataki!! Rais unatakiwa ujiamini na sio kujishtukia ukiona lissu anaongea!!

Huku kwetu wanaamini maneno makali na vitisho ndio uongozi...kwa kifupi hawajui maana ya uongozi!!

Tanzania ya viwanda haitakuja kwa kamatakamata ya wapinzani, rais unapoteza muda tu!! Bila uongozi bora tutakua tanzania ya vi wonder na sio tanzania ya viwanda!!
Hao wengine ni Rais wanadamu , ulichosahau ni kujua kwamba Rais wa Tanzania ni mungu , hafanani na hao marais wa nchi zingine ambao ni wanadamu tu .
 
Katukunwa kwa tusi la "lugha isiyokuwa ya staha" "lugha ya maudhi" na kwa kuwa action na reaction always ziko sawa! Mtu huvuna anachopanda!

Mkuu hebu nipe hiyo reaction na action ya lugha hii " iwapo umechukua hela ya serekali mkononi, utaitolea kwenye tundu lolote lililo wazi mwilini"
 
Mkuu kuna ka system tunako waafrica. Mfano vyuoni mwalimu akifelisha anaonekana ni mtabe kweli kweli!!! Lakini ukienda kwa wenzetu mwalimu akishika mwanafunzi basi huyo mwalim atahuzunika sana!!

Haya tuje kwa rais wetu... Kwake yeye kuwa na roho mbaya na kutoa vitisho kwa watu ndio anaona anaongoza...

Sasa ukienda kwa wenzetu mambo ni tofauti....
04d184700b6551a0d16f1b89037ffacf.jpg

Huyo ni Obama rais mstaafu wa marekani!!

Ivi kuna rais anatukanwa kama rais wa marekani?? Achilia mbali obama, trump mwenyewe kila saa anatukanwa!! Je angekua kama sizonje marekani ingekalika??

Kwa kifupi hatuwezi kuwa na mtazamo mmoja japo wote tuna common goal! Kukosolewa ni lazima japo rais wetu hataki!! Rais unatakiwa ujiamini na sio kujishtukia ukiona lissu anaongea!!

Huku kwetu wanaamini maneno makali na vitisho ndio uongozi...kwa kifupi hawajui maana ya uongozi!!

Tanzania ya viwanda haitakuja kwa kamatakamata ya wapinzani, rais unapoteza muda tu!! Bila uongozi bora tutakua tanzania ya vi wonder na sio tanzania ya viwanda!!
Hamia Marekani wanakotukana rais wao pia mashoga wanaruhusiwa kuoana!! Shida yako nini?? Tanzania atujafikia ujinga huo wa kizungu!
 
Sijui kama uzi utaunganishwa.

Ebu Watanzania tuwe watu wa analysis. Watu wengi wamekuwa wakiunga mkono kukamatwa kwa Halima Mdee na kusema kuwa Mdee alimtukana Mtukufu Rais wa Tanzania. Pia wengine wanasema kamkashifu Rais.

Baada ya mjadala mrefu, ebu tuelezane sasa, Rais katukanwa kwa tusi lipi?
Hata mimi sijui!
 
Akili zikiwa fupi ni kazi sana.

Kuna sehemu gani kwenye sheria kuna kosa linaloitwa kutukana kimantiki?

Wewe akili zakutosha kutembelea na kuvukia mataa tu.

Kama hujui mantiki maana yake, je umeshindwa hata kuona nguvu ya mantiki inayomsotesha Mdee rumande rafiki?!
 
Alisema Rais ni mbaguzi (kijinsia) Tena anachukia wanawake hâta watoto wa kike. Hii ni kumfitinisha rais na watuwake na nikukikebehi cheo/ofisi ya Rais. Kiafrika sio maadili labda kimarekani.
kifupi aliact derogatorly!
 
Kisu ni nyenzo muhimu na ilisaidia maendeleo ya binadamu pale ilipogunduliwa, lakini kwa bahati mbaya wengine walienda mbali na kuanza kuitumia visivyo kama kukatia miti ovyo na kuwaua binadamu kwa kuwachoma nacho.
Vivyo hivyo ndani ya utawala ukiweka watu wasio hata na chembe ya uelewa wa tafsiri ya kutawala na kuongoza utaambulia negative impacts za kisu kwa maana ya cheo!
 
Back
Top Bottom