Huyo huyo mjinga, unashinda barazani kwake kila siku na bakuli kuomba msaada.Hamia Marekani wanakotukana rais wao pia mashoga wanaruhusiwa kuoana!! Shida yako nini?? Tanzania atujafikia ujinga huo wa kizungu!
Huyo huyo mjinga, unashinda barazani kwake kila siku na bakuli kuomba msaada.Hamia Marekani wanakotukana rais wao pia mashoga wanaruhusiwa kuoana!! Shida yako nini?? Tanzania atujafikia ujinga huo wa kizungu!
Nlisikia kitu kama 'afungwe brekii'... Heeh mi simoo jmnNdio ni yapi hayo?
Mkuu kuna ka system tunako waafrica. Mfano vyuoni mwalimu akifelisha anaonekana ni mtabe kweli kweli!!! Lakini ukienda kwa wenzetu mwalimu akishika mwanafunzi basi huyo mwalim atahuzunika sana!!
Haya tuje kwa rais wetu... Kwake yeye kuwa na roho mbaya na kutoa vitisho kwa watu ndio anaona anaongoza...
Sasa ukienda kwa wenzetu mambo ni tofauti....![]()
Huyo ni Obama rais mstaafu wa marekani!!
Ivi kuna rais anatukanwa kama rais wa marekani?? Achilia mbali obama, trump mwenyewe kila saa anatukanwa!! Je angekua kama sizonje marekani ingekalika??
Kwa kifupi hatuwezi kuwa na mtazamo mmoja japo wote tuna common goal! Kukosolewa ni lazima japo rais wetu hataki!! Rais unatakiwa ujiamini na sio kujishtukia ukiona lissu anaongea!!
Huku kwetu wanaamini maneno makali na vitisho ndio uongozi...kwa kifupi hawajui maana ya uongozi!!
Tanzania ya viwanda haitakuja kwa kamatakamata ya wapinzani, rais unapoteza muda tu!! Bila uongozi bora tutakua tanzania ya vi wonder na sio tanzania ya viwanda!!
Hata sio ngozi ngumu! Elewa maana ya uongozi baaasi!! Huna haja ya kucomplicate!!Kuwa kiongozi yakupasa uwe na ngozi ngumu.
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Hakiri ya watu kama huyu, kuna nchi hapo. Tutamkumbuka yule legelege. Hivi CCM people do they know either what does democracy mean.ili tuendelee ccm has go, la sivyo tutatafuta sana mchawi hatutokuja kumpata. Waondoke tumjue mchawi. ccm has to go first then maendeleo baadaye, 50 years its has become so long with nothing. Tumeabulia kuwa LDCs. Ccm has to 1st.Sidhani kama alimtukana Rais ila kwa mujibu wa maelezo ya mkuu wa wilaya ya kinondoni Halima katika hotuba yake alisema ni vema Rais Magufuli akafungwa break..! so anawasaidia polisi kujua ni aina gani ya break ambayo anategemea kuitumia kumfunga rais.
hivyo sidhani kama anatarajiwa kutoka hivi karibuni..
ni mpaka pale polisi watakaporidhika kuwa hiyo aina ya break aliyoisema ndio aliyo ikusudia..
kuna watu wanasumbua Kibiti ni vizuri tukafahamu pia huenda wana mahusiano.
Yes hata mimi babangu akivunja katiba aliyo appa kuilinda namwambia tena 6 asubuhi its time magufuli aambiwe to keep him alert kauli zake shio sheria na apunguze povu na anabahati anaongoza ng'ombe watanzania to me sisi ni mazuzu tena mapunda kabisa ingekua kenya it could b different if he was president of somalia yesu asinge maliza 72hrs thats called no one is above the lawManeno aliyosema Halima, anaweza kumwambia baba yake? Au mumewe?
Alisema kwa mfano acha kupindisha maana au wewe na hapi ni same zero earskamtukana Rais kimantiki..hana adabu lazima aendelee kushughulikiwa. namnukuu
"eti ipo siku atatuambia tutembee hatujavaa nguo za juu na ni lazima tutii"
kimantiki ni tusi kubwa kwa Rais wa Jamhuri..
wacha anyooshwe tu hamna namna..
Maneno gani aliyosema Mh Mdee?Maneno aliyosema Halima, anaweza kumwambia baba yake? Au mumewe?
bado hujanielewa,naitakuwa ngumu sana.Hata sio ngozi ngumu! Elewa maana ya uongozi baaasi!! Huna haja ya kucomplicate!!
Tumia kiswahili tu ndugu itakusaidia zaidi. Isingekuwa hiyo ccm hata hapo kwenu pasingekuwa palivyo leo zunguka upaangalie vizuri.Hakiri ya watu kama huyu, kuna nchi hapo. Tutamkumbuka yule legelege. Hivi CCM people do they know either what does democracy mean.ili tuendelee ccm has go, la sivyo tutatafuta sana mchawi hatutokuja kumpata. Waondoke tumjue mchawi. ccm has to go first then maendeleo baadaye, 50 years its has become so long with nothing. Tumeabulia kuwa LDCs. Ccm has to 1st.
Sasa na aliyesema "aliyechukua hela za serikali zitamtokea popote palipo wazi" nani katukanakamtukana Rais kimantiki..hana adabu lazima aendelee kushughulikiwa. namnukuu
"eti ipo siku atatuambia tutembee hatujavaa nguo za juu na ni lazima tutii"
kimantiki ni tusi kubwa kwa Rais wa Jamhuri..
wacha anyooshwe tu hamna namna..
Ngugae ndo naniKamwambie baba yako yale alioyasema kws JPM na NGUGAE utajua kama katukana au hajatukana.
Na ukikubali upumbavu wa watawala ulowapigia kura kwa kupanga foleni unakua mtumwa tu ..Ukishakuwa mlevi ni ngumu kueleweka na wasio walevi wenzako.
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Tusi gani? Kwa kweli hatujui. Tusubiri uchunguzi wa polisi hiyo ndiyo kazi yao. Kama ni kweli alimtukana watasema ni tusi gani wakiwa mahakamani Jaji ndiyo ataamua. Kama wakikuta hakuna tusi watamwachia hapo hapo. Hiyo ndiyo demokrasia, ingekuwa Kenya au Somalia angepotea tu.Sijui kama uzi utaunganishwa.
Ebu Watanzania tuwe watu wa analysis. Watu wengi wamekuwa wakiunga mkono kukamatwa kwa Halima Mdee na kusema kuwa Mdee alimtukana Mtukufu Rais wa Tanzania. Pia wengine wanasema kamkashifu Rais.
Baada ya mjadala mrefu, ebu tuelezane sasa, Rais katukanwa kwa tusi lipi?
Umeongea kweli tupu.Alietoa maagizo ya Mdee kukamatwa kaikimbia kesi,Polisi wanahaha kutafuta kosa la kumshtaki Mdee.