getrusa
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 2,150
- 1,824
Sidhani kama alimtukana Rais ila kwa mujibu wa maelezo ya mkuu wa wilaya ya kinondoni Halima katika hotuba yake alisema ni vema Rais Magufuli akafungwa break..! so anawasaidia polisi kujua ni aina gani ya break ambayo anategemea kuitumia kumfunga rais.Sijui kama uzi utaunganishwa.
Ebu Watanzania tuwe watu wa analysis. Watu wengi wamekuwa wakiunga mkono kukamatwa kwa Halima Mdee na kusema kuwa Mdee alimtukana Mtukufu Rais wa Tanzania. Pia wengine wanasema kamkashifu Rais.
Baada ya mjadala mrefu, ebu tuelezane sasa, Rais katukanwa kwa tusi lipi?
hivyo sidhani kama anatarajiwa kutoka hivi karibuni..
ni mpaka pale polisi watakaporidhika kuwa hiyo aina ya break aliyoisema ndio aliyo ikusudia..
kuna watu wanasumbua Kibiti ni vizuri tukafahamu pia huenda wana mahusiano.