Halima Mdee kamtukana Rais kwa tusi gani?

Halima Mdee kamtukana Rais kwa tusi gani?

Very good, mkuu !!

Hizi ndizo arguments zinazotakiwa kutolewa na GT yeyote....

Na kwa kuongezea tu ktk hoja yako hiyo, ni kwamba, ukiona kiongozi yuko "too defensive" ambayo hii ni moja ya sifa nyingi za viongozi waoga na wasiojiamini tambua mara moja kuwa kaupata uongozi huo kwa njia zisizo halali !!

Na kwa case hiyo, anakuwa anatumia kila njia yenye gharama yoyote île within his/her capacity kulinda nafasi yake....

Na kwa huyu Magufuli wetu, hana lolote. Anaangukia kwa viongozi wa namna hii !!
Refer kauli ya majuzi ya EL kuwa kura hazikuhesabiwa vizuri uchaguzi mkuu 2015.

Baada ya kutoa kauli hiyo akaitwa Polisi kwa uchochezi.........

Japo watawala wakasema wamemwita Polisi ili afafanue kuhusu kauli yake ya masheikh walioko rumande kwa miaka mingi hivi sasa.
 
Maneno aliyosema Halima, anaweza kumwambia baba yake? Au mumewe?
Huyo si babake wala mumewe bali ni kiongozi wa nchi ambaye inatakiwa aongoze kwa kufuata njia sahihi na si vitisho na kudhani mawazo yake ni sahihi wakati wote!!! .

Cairo's
 
Wee upo Tandale kwa Tumbo unatoa mfano wa Marekani, nlijua mtamuonya huyo kichaa wenu kumbe lawama sasa kulaum kutasaidia nini, hilo lijitu limefukuzwa Bungeni likaona halitasikika ndio maana kajitoa ufaham huku akijua wapo watu wanaolipwa mishahara kupambana na wavuta bangi kama yeye
Kwa mtu kama huyu Tanzania itatokaje hapa ilipokwama kwenye umaskini?! Na hawa ndiyo wafuasi wa Maghufuli na serikali yake!! [emoji40] [emoji85]

Cairo's
 
Hamia Marekani wanakotukana rais wao pia mashoga wanaruhusiwa kuoana!! Shida yako nini?? Tanzania atujafikia ujinga huo wa kizungu!
Maajabu mengine haya kati ya USA na Tz ni wapi ujinga bado ni tatizo?!

Cairo's
 
Kama hatutopenda kutumia busara basi itakuwa shida sana, kwani Lema alivyokaa mahubusu siku zote ulifnya nini. Tusishadadie wenzetu kukaa mahabusu wakati wewe unakula maisha uraiani

Nani ameshadadia kuvunjwa kwa Haki za wengine ?
 
Tumia kiswahili tu ndugu itakusaidia zaidi. Isingekuwa hiyo ccm hata hapo kwenu pasingekuwa palivyo leo zunguka upaangalie vizuri.
Rafiki yangu, mwl aliwataja maadui wa tatu wa taifa, mpaka leo wote wamesimama na nguvu tele, mabadiliko yapo lkn linganisha na hatua zilizopigwa na nchi nyingine tulizokuwa sawa. Kwa mfano nchi kama Eritrea(nchi ambayo wananchi wanaikimbia) unaweza usiamini elimu na afya ni bure. Nchi nyingi zimeimaliza malaria kwetu unaogoza Kwa kupuguza nguvu kazi, na yote yanayofanyika siyo mabadiliko tuliyoyapanga ni sawa na Burudi, DRC na wao wanayo ya kujivunia pamoja na vita. Lakini nchi yenye amani, upole, bado tulivyo na hakika yale maneno ya mzee kinguge ccm imekata pumzi yatasimama, sasa ni one man show kila mmoja ameweka akili mfukoni kulinda ugali basi. Ukweli watu waamue 2020 waondoke.
 
kamtukana Rais kimantiki..hana adabu lazima aendelee kushughulikiwa. namnukuu

"eti ipo siku atatuambia tutembee hatujavaa nguo za juu na ni lazima tutii"
kimantiki ni tusi kubwa kwa Rais wa Jamhuri..

wacha anyooshwe tu hamna namna..
Inawezekana pia kwani ili "UFYATUE" si lazima tuvue nguo.

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
kamtukana Rais kimantiki..hana adabu lazima aendelee kushughulikiwa. namnukuu

"eti ipo siku atatuambia tutembee hatujavaa nguo za juu na ni lazima tutii"
kimantiki ni tusi kubwa kwa Rais wa Jamhuri..

wacha anyooshwe tu hamna namna..

Elimu elimu elimu
 
Maajabu mengine haya kati ya USA na Tz ni wapi ujinga bado ni tatizo?!

Cairo's
Tatizo lako ni slavery mentality ndio inakusumbua unafikiri mzungu hawezi kuwa mjinga. Kwa taarifa yako wazungu wajinga wapo wengi tu! Lakini hata Africa wapo wajinga kama wewe na mbaya zaidi hujui kama una ujinga wa kitumwa. Soma taarifa hii hapa chini ya tarehe 02/02/1835 iliyoko maktaaba moja UK London ili ujiokowe kutoka kwenye utumwa wa akili
IMG-20170528-WA0013.jpg
 
Rafiki yangu, mwl aliwataja maadui wa tatu wa taifa, mpaka leo wote wamesimama na nguvu tele, mabadiliko yapo lkn linganisha na hatua zilizopigwa na nchi nyingine tulizokuwa sawa. Kwa mfano nchi kama Eritrea(nchi ambayo wananchi wanaikimbia) unaweza usiamini elimu na afya ni bure. Nchi nyingi zimeimaliza malaria kwetu unaogoza Kwa kupuguza nguvu kazi, na yote yanayofanyika siyo mabadiliko tuliyoyapanga ni sawa na Burudi, DRC na wao wanayo ya kujivunia pamoja na vita. Lakini nchi yenye amani, upole, bado tulivyo na hakika yale maneno ya mzee kinguge ccm imekata pumzi yatasimama, sasa ni one man show kila mmoja ameweka akili mfukoni kulinda ugali basi. Ukweli watu waamue 2020 waondoke.
Kwa mtu mwenye akili timamu haitaji uwe na elimu ya juu kugundua hili, kila anaezungumza au kila litalotea sentensi ya mwisho tusubiri 2020. Ndio maana narudia tena hao viongozi weru wa upinzani hawafanyi mambo ya manufaa kwetu ila wanataka wapate faida ya 2020, ili wakati wa kampeni iwe ndio sera mi nilikaa jela miezi 4 kwa ajili ya kutetea wananchi hakuna jipya hapo.
 
Tatizo lako ni slavery mentality ndio inakusumbua unafikiri mzungu hawezi kuwa mjinga. Kwa taarifa yako wazungu wajinga wapo wengi tu! Lakini hata Africa wapo wajinga kama wewe na mbaya zaidi hujui kama una ujinga wa kitumwa. Soma taarifa hii hapa chini ya tarehe 02/02/1835 iliyoko maktaaba moja UK London ili ujiokowe kutoka kwenye utumwa wa akiliView attachment 538939
Mkuu hapo kuna ukweli, wamefanikiwa kuteka fikra zetu, wakatujaza za kwao. Ndo maana tunatawaliwa kila eneo. Utumwa wafikra ndo mbaya sana.
 
Acheni wazungu waitwe wanzungu na acheni ngozi nyeupe itawale dunia....

04d184700b6551a0d16f1b89037ffacf.jpg
 
Tatizo lako ni slavery mentality ndio inakusumbua unafikiri mzungu hawezi kuwa mjinga. Kwa taarifa yako wazungu wajinga wapo wengi tu! Lakini hata Africa wapo wajinga kama wewe na mbaya zaidi hujui kama una ujinga wa kitumwa. Soma taarifa hii hapa chini ya tarehe 02/02/1835 iliyoko maktaaba moja UK London ili ujiokowe kutoka kwenye utumwa wa akiliView attachment 538939
Kama si mawazo ya kitumwa hao hao viongozi wako wapendwa wasingesaini mikataba ya mrahaba wa 3% tena kwa miaka 100. Kabla ya kuhukumu watu wenye mawazo tofauti ihukumu kwanza hiyo nyumba inayotutawala.

Cairo's
 
Kwa mtu mwenye akili timamu haitaji uwe na elimu ya juu kugundua hili, kila anaezungumza au kila litalotea sentensi ya mwisho tusubiri 2020. Ndio maana narudia tena hao viongozi weru wa upinzani hawafanyi mambo ya manufaa kwetu ila wanataka wapate faida ya 2020, ili wakati wa kampeni iwe ndio sera mi nilikaa jela miezi 4 kwa ajili ya kutetea wananchi hakuna jipya hapo.
Lengo lako wanyamaze siyo?, au unataka waseme 2018 ili wavunje katiba, wao ni kinywa cha wasio na sauti unayoogopa kuyasema wanaweza, wamefanikiwa sana ukifikiri walipotutoa kwenye kutoa hoja za kitaifa na kufanya ccm na serikal yenyewe kujitathimini ungetamani hata wawe wengi kuliko ccm. Wanamawazo mbadala. Sasa ukiwa na wabunge Wa ccm peke yake si bora wasiwepo tuiche serikali iamue inavyotaka, Kwa sababu wao ndiyo kila k2 ndiyo uzalendo. Hakuna mtu anaktaka jela pasikie tu. Utapiga haya kama wewe ni shabiki wa siasa au mlevi kabisa na haujui siasa zina athari ngani katk maisha yako ya kila siku.

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mtu kama huyu Tanzania itatokaje hapa ilipokwama kwenye umaskini?! Na hawa ndiyo wafuasi wa Maghufuli na serikali yake!! [emoji40] [emoji85]

Cairo's
Unaugua ugonjwa wa kutokujitambua, sasa huyo mvuta bangi mwenzio anayoyafanya ndio Tanzania itaondoaka katika Umasikini siyo

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Kama si mawazo ya kitumwa hao hao viongozi wako wapendwa wasingesaini mikataba ya mrahaba wa 3% tena kwa miaka 100. Kabla ya kuhukumu watu wenye mawazo tofauti ihukumu kwanza hiyo nyumba inayotutawala.

Cairo's
Ngoja nikueleze kwa lugha ya hao mabwenyenye unaowahusudu labda utanielewa "Don't argue with a fool; People might not notice the difference".
 
Nasikia leo huko Chato neno WAPUMBAVU limetumika tena!

Inaelekea hili neno siyo tusi tena kwenye kamusi ya Kiswahili.
 
Nyoooooo yaaani mi niwe kiongozi alafu useme nifungwe breki alaaaaaa

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom