Uchaguzi 2020 Halima Mdee: Gwajima alijaza fomu ya maadili nyumbani kwake badala ya kuja mbele ya msimamizi wa uchaguzi hivyo hana sifa ya kugombea

Sasa atathibitisha vipi aliijaza nyumbani ?Na kama aliijaza akiwa kwa msimamizi wa uchaguzi tarehe hiyo ?Halima Mdee hapa kachemsha.

Good thinking! Nafikiri siku ya kujaza ni yakupeleka “the form”
 
Sasa umemkatia rufaa au una lalama tu hapa dada yetu? Angalia hata jina amekosea Askofu sio jna lake. Hicho ni cheo.
 
Nyie mnaota! ccm haiwezi kukubali pingamizi lolote lipitishwe na tume kwa mgombea wao hata kama pingamizi hilo lina mashiko.
Kama hawawezi kukubali je sheria hiyo ilitungwa kwa ajili ya nani hasa?
 
Halima anasumbuka you.
Hii tumme ni ya Memo.
Wore ni wakaanga sumu
 
Mzee wa kufuta Madrassa na misikiti na kuigeuza Sunday school 🏫
 
Na Ile video yake kule U porn na Free X video anapiga mauno bado tu ameruhusiwa kugombea?
 
Tatizo sheria huwa tunatunga kwa ajili ya watu frani ila zikijà kwetu tunaanaza kelele
Bungeni ni sehemu takatifu ambapo ndio dila ya taifa haya ndio mazala ya kila kitu ndio
Kajifunze Kiswahili kwanza halafu uje u comment hapa. Hivi "frani" "dila" "mazala" ni maneno ya kabila gani?
 
Kwani Gwajima anagombea Urais ?
Ni kosa kisheria kutokuhakiki fomu ndani ya ofisi za tume tena inahakikiwa siku ya uteuzi ambayo kisheria ilikuwa tarehe 25. Sasa yeye kwenye fomu ameandika kuwa ilihakikiwa tarehe 24. Halafu kwenye fomu kaweka jina "ASKOFU" wakati kwenye cheti cha kuzaliwa halipo. Yeye anaambiwa ajaze majina matatu yeye anaweka manne. Yani tukifuata haki wana CCM zaidi ya asilimia 60 wamejaza upuuzi kwenye fomu zao.
 
Masikini Halima, huyu dada nampenda sana ila kusema kweli anakabiliwa na ushindani mkubwa sana safari hii, 'I hope' wapiga kura watamrudisha mjengoni tuone tena kashkash zake.
 
Umejuaje kama hajapeleka pingamizi kwa NEC? kuwa Mataga siyo justification ya kuwa mpumbavu
 
Sasa atathibitisha vipi aliijaza nyumbani ?Na kama aliijaza akiwa kwa msimamizi wa uchaguzi tarehe hiyo ?Halima Mdee hapa kachemsha.
Uthibitisho nitarehe inayoonekana kwenye form imejazwa tarehe20/08/2020 na form ilipaswa ijazwe tarehe25/08/2020,,
 
Basi humjui Yesu kiundani, mission yake alikuja kwa ajili ya watenda dhambi, mzima haitaji tabibu mkuu.
Yesu hakuja kuwa mshirika wa wanaotenda dhambi.
Hakuja kuwasaidia watenda dhambi katika utendaji wao wa dhambi.
Yesu alikuja kuwaokoa watenda dhambi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…