Uchaguzi 2020 Halima Mdee: Gwajima alijaza fomu ya maadili nyumbani kwake badala ya kuja mbele ya msimamizi wa uchaguzi hivyo hana sifa ya kugombea

Sasa atathibitisha vipi aliijaza nyumbani ?Na kama aliijaza akiwa kwa msimamizi wa uchaguzi tarehe hiyo ?Halima Mdee hapa kachemsha.
Hujaelewa maantiki ya Halima Mdee! Maana yake ni kwamba alitakiwa ajaze akiwa mbele ya msimamizi wa uchaguzi na kwa tarehe na muda alio pangiwa! Vyovyote vile ilitakiwa iwe tarehe 25.08.2020
 
Uthibitisho nitarehe inayoonekana kwenye form imejazwa tarehe20/08/2020 na form ilipaswa ijazwe tarehe25/08/2020,,
Kama haujui,huwa wanakwenda kuhakiki form zao.What if Gwajima alhamis alikwenda kwa msimamizi kuhakiki na akaijaza hiyo form mbele ya msimamizi ?Sio lazima iwe tarehe 25.Cha muhimu inatakiwa ijazwe mbele ya msimamizi.
 
Ni kosa kisheria kutokuhakiki fomu ndani ya ofisi za tume tena inahakikiwa siku ya uteuzi ambayo kisheria ilikuwa tarehe 25. Sasa yeye kwenye fomu ameandika kuwa ilihakikiwa tarehe 24. Halafu kwenye fomu kaweka jina "ASKOFU" wakati kwenye cheti cha kuzaliwa halipo. Yeye anaambiwa ajaze majina matatu yeye anaweka manne. Yani tukifuata haki wana CCM zaidi ya asilimia 60 wamejaza upuuzi kwenye fomu zao.
Askofu ni title tu,pili form uijaze mbele ya msimamizi. What if alikwenda mbele ya msimamizi hiyo tarehe 24 na akaijaza.?
 
Askofu ni title tu,pili form uijaze mbele ya msimamizi. What if alikwenda mbele ya msimamizi hiyo tarehe 24 na akaijaza.?
Wee dogo langu unazingua, kisheria ilitakiwa form zote zihakikiwe tarehe 25. Halafu kwenye official document hatuwekagi title ndiyo maana hata kwenye karatasi ya kura huonagi sijui Dkt. Au Prof. Au Eng.
Kama anataka title akaweke kwenye msalaba siku akifa
😲😲😲😲😲 ntakuchapa
 
Kanuni ya 26(3) ya Kanuni za Uchaguzi zinataka Fomu ya KUTEKELEZA MAADILI kujazwa mbele ya Msimamizi wa Uchaguzi. Ndugu yangu wa CCM KAWE alijaza tarehe 20/8/2020 NYUMBANI kwake. Na BADO MSIMAMIZI wa UCHAGUZI Kinondoni AKAMTEUA!⁩ HUYU Mgombea HANA SIFA-Halima Mdee on twitter.

Sasa si angeweke pingamizi anatuletea sisi mitandaoni kwani sisi 4ndio tume ya uchaguzi?
 
Sasa ni wapi imetakiwa ijazwe siku ya kurejesha ?Cha muhimu ijazwe mbele ya msimamizi haijalishi siku ya kurejesha ama la.
Jielekeze vizuri, tamko linasainiwa baada ya kuwasilisha fomu namba 8b au 8c, ni lazima iwe mbele ya Msimamizi wa Uchaguzi siku ya uteuzi. Kwa kurahisisha, hata ingekua sio lazima iwe siku ya uteuzi, bado lingetakiwa kusainiwa kwa tarehe moja ya kufanana, yaani tarehe ya mtoa tamko lazima iwe sawa na tarehe ya mshuhudia tamko. Sasa angalia hizo tarehe kwenye fomu ya Gwaji Boi
 
Kama haujui,huwa wanakwenda kuhakiki form zao.What if Gwajima alhamis alikwenda kwa msimamizi kuhakiki na akaijaza hiyo form mbele ya msimamizi ?Sio lazima iwe tarehe 25.Cha muhimu inatakiwa ijazwe mbele ya msimamizi.
Kukagua ni siku tatu kabla, na tarehe25 nisiku yakurejesha form nakuteuliwa,,
 
Back
Top Bottom